Magufuli afungashe virago vyake 'arest in hell'!!

Hivi 'likabudi' macho kumchuzi liko wapi like dingi? Amejificha mafichoni vichakani.?
 
Hata kabla ya kushambuliwa hakuwahi kumuogopa, tayari alikuwa amefunguliwa kesi 8 zote zenye maudhui ya uchochezi kwa kumkosoa na kumsema Meko.
Namnuku 2016 watanzania tuungane kuupinga udictator uchwara wa magufuli.haijawahi kutokea Tanzania kuwa na rais wa ajabu kama magufuli.ni rais ambae ataweka historia ya kutawala kipindi kimoja cha urais mwisho wa kunukuu.
 
Nimeona Picha za mkutano wa lisu huko Geita Jimbo la busanda ni hatari watu wana mahaba Ya lisu wanaonesha Kwa hisia Kari Sana wanavyonesha hisia zao inaonesha dhahiri kuwa huko hawamtaki hata kumsikia magufuli, je Mimi huku sirari tarime ni Nani kwa magufuli? Kupiga kura Kwa magufuli ambae hata kwao hawamtaki Kwa sababu ambazo wanamjua vizur ni matumiz mabaya Ya kura Yangu hivyo nitampigia lisu Kwa nguvu zangu zooote
 
Mliwashitaki???? Na zile 300+T wamelipa??
 
Amebaki kujibaraguza kugeuza kofia ili aonekane wa MUJINI na kuruka kuruka kwa nyimbo za zuchu. Nimetoka Twitter kuwachapa maccm za uso.
Inawezakana kweli mtu akakuachia umchape za uso, Je wewe umechapwa za wapi? Tuambie
 
Vp mbona unapanik mzee vp dawa imeingia vizuri Lisu kamatia hapohapo
 
Nakwambia baada ya tarehe hiyo kuna watu watalazwa baada ya kukosa wabunge hata 10 nakwambia Bukoba uwanja wa Gymcana kulikuwa na watu wachache sana lakini edited picha zinazosambaa mtandaoni ni tofauti kabisa.
Kaa vizuri dawa isukumwe ndani ili uweze kupona ugonjwa wa magufulization
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…