Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Na bado ati wanajitia kushangaa kwanini Tanzania ni maskini!!!Unaposimamia UHURU na HAKI wa raia wenzio ambao wamenyanyaswa, kudhalilishwa na kutendewa maovu mengine mbali mbali ikiwemo MAUAJI na ushahidi upo wa kutosha tu hakuna ambaye atakuzidi kwa hoja.
Nchi tajiri ina ardhi kubwa yenye rutuba, rasilimali za kumwaga na Watu tele lakini baada ya miaka 60 hatuna chochote cha kujivunia wakati hayo majizi na mafisadi yanakuwa mamilionea na mabilionea huku asilimia kubwa ya Watanzania wakiishi katika UFUKARA WA KUTISHA mlo mmoja tu kwa siku hawajui watautoa wapi.
Huu uchaguzi tutaonana icc the Hague...kazi ambayo kuna January and.nape wanafanya sasa.hiviMaria Sarungi Tsehai anamueleza Magufuli wewe tuliza mshono
Wana Katoro wanakubaliana na TL ndio maana kuna nyomi ya kufa mtu!Kuna jipya huku, hataki uwanja ujengwe Katoro.
Ushahidi ni zile picha za 2015 alizorusha Kileo (kiongozi wa chama) akiudanganya umma kuwa ni za mapokezi ya Lisu Shinyanga. They're desperate.Ata uku kwenye social media hawazidi watano Ila wanatumia Id zaidi ya 20. Yaani wamepotea vibaya.
Hao ndio wapambe ninao wasema mimi na wala hapo sio wapiga kura , wapiga kura wapo iwa DR.MAGUFULI huo ndio ukweli mchungu kwa chadema
Maendeleo yapo CCMDunia imebadirika..kizazi cha ukombozi kimekufa..ndio maana wazee ni 3% tu...vijana wanataka maendeleo sio bla bla za CCM
Hicho kijiji chenu kitakuwa kimezungukwa na nyumba za tembe mkuuCHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word
Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaan huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anaye sikika midomoni mwa wapiga kura.