Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka wachangiwe? Kwani sisi wananchi Ni wajibu wetu kuwagharamia wanasiasa?Umewachangia Bei gani kiongozi
Kwa Hali ya kisiasa ilivyokuwa 2016_2020 Ni vigumu Sana kuamini kinachoendelea Sasa!Yalikuwa na Mikutano ya Siasa kwa Vyama by Upinzani!...
Bwashee leo mnahesabu matoleo?!Mwambie Mzee Pombe ajibu kwanza maswali ya home work aliyopewa jana.
Mkuu hiyo kitu ilitokea? Kwahivyo hana marinda huyo Mh.?Kama kuna mtu ana ile clip ya Bashe wakati analia Bungeni kuwa kabakwa na watu wa Magufuli aiweke hapa
Huyo hapo bwashee, anaelekea kanda ya Serengeti muda huu...Baadaye tukutane Shinyanga mjiniLeo sioni kabisa harakati za makamanda kuinadi ilani ya Chadema wala kutupa ratiba ya yanayojiri.
Dr Magufuli anaelekea Nzega muda huu akitokea Singida ambako kila kijiji wananchi wanamsimamisha awasalimie.
Maendeleo hayana vyama!