Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

Kituo kinachofuata ni shinyanga. Wagombea wawili wataonana leo hapo TINDE mmoja akitokea Nzega na mwingine akitokea shinyanga. Hakika kutakuwa na mdahalo kubwa wa hatma ya Tanzaia miaka mitano apewe nani?

Sent from my TECNO PP7E-DLA1 using JamiiForums mobile app
Hebu fafanua mkuu
 
Leo sioni kabisa harakati za makamanda kuinadi ilani ya Chadema wala kutupa ratiba ya yanayojiri.

Dr Magufuli anaelekea Nzega muda huu akitokea Singida ambako kila kijiji wananchi wanamsimamisha awasalimie.

Maendeleo hayana vyama!
KUSIMAMISHWA INAWEZEKANA SANA TENA SANA MAANA KUNA DRAMAS NYINGI! na kibaya hakikosi wapenzi vile vile!... hata Idd Amin alikuwa na wapenzi wengi pamoja kuwaua kwa malaki
 
Leo sioni kabisa harakati za makamanda kuinadi ilani ya Chadema wala kutupa ratiba ya yanayojiri.

Dr Magufuli anaelekea Nzega muda huu akitokea Singida ambako kila kijiji wananchi wanamsimamisha awasalimie.

Maendeleo hayana vyama!
Leo ni siku ya kulaumiana ,jana wamejichanganya mwanza ,Lissu aliharibu sana tu,maelezo yake mengi yalijaa uongo na uzushi yasio na tafiti hata chembe
 
Ni mwendo wa kukodi bodaboda na bajaji kwa ujumla hali ni mbaya kwenye battle field, DJ na watu wake wa karibu ni kama wamemsusia mgombea katika kupata rasilimali fedha. Ela kidogo inayopatikana inasemekana inatosha kwa ajiili ya kuwalipa bodaboda na bajaji ili kuwe na nyomi.
 
Leo sioni kabisa harakati za makamanda kuinadi ilani ya CHADEMA wala kutupa ratiba ya yanayojiri.

Dkt. Magufuli anaelekea Nzega muda huu akitokea Singida ambako kila kijiji wananchi wanamsimamisha awasalimie.

Maendeleo hayana vyama!


1599040915584.png

SERENGETI HIYO LEO HADI ADUI MUOVU AKOME
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2020-09-02 at 12.35.01.jpeg
    WhatsApp Image 2020-09-02 at 12.35.01.jpeg
    45.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom