Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Chaguo la Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana.....
Tundu Lissu wapeleke CCM mchakamchaka
Tundu Lissu mpeleke Magufuli mchakamchaka
Ninyi mnaompaka mafuta TAL kwa mgongo wa chupa mna mpango gani naye?
TAL mwenyewe anajua wazi kwamba hawezi kushinda hata nukta moja, ninyi mnamvimbisha kichwa weee kwa kitu kisichowezekana kabisa kwake. Ukitaka kujua haya niyasemayo, nenda vijijini kaulize kama hata anafahamika.
Mwaka 2015 EL na Power na ushawishi mkubwa sana lakini matokeo ya kura kule vijijini yalikuwa kama ifuatavyo:
Kituo A-CCM Kura 312, Chadema 21
Kituo B-CCM Kura 335, Chadema 27
Kituo C- CCM Kura 297, Chadema 12
Kwa hiyo, naomba msimpagawishe TAL kwa kitu kisichowezekana, asije akapata vidonda vya tumbo baada ya kukosa.
View attachment 1571010View attachment 1571011View attachment 1571012
Mpeni salam huyo mkimbizi , hii ni mleba tukielekea Kagera , mwambieni Ikulu ataisikia mdomoni tuu mpak atakaposhuka kaburini
Mzee Makamba kaongea lini hiyo kauli Mkuu?Kwa hamasa hii na uonevu aliofanya magufuli ninakubaliana na Mzee Makamba kwamba mwaka huu ni Uchaguzi wa Wananchi!
https://twitter.com/i/broadcasts/1ZkJzmrDbZoGv?s=09
Mambo ni moto
Fuatilia live hapo mkutano umeanza
Tumia cm yako tumia kila aina ya ushawishi ili nawe uwe mmoja wa watu waliofanya mabadiliko. Najiuliza hivi nani kamwambia anapendwaIvi ni mimi tuu?? Au mawani nayovaa ndio yanayonichanganya???
Ivi Wakuu Huu mvumo na upepo wa kisurisuri, gharika, ngurumo wa Lissu unakujaje ????
Wakuu Ivi ni mimi tu nayejiuliza hili NYOMI la Lissu SUMBAWANGA amelitoa wapi?????
Nauliza wakuu, Toka nianze mfatilia Lissu ktk kampeni, UKWELI NIKWAMBA KILA SIKU NYOMI LAKE LINAONGEZEKA MAELFU NA MAELFU
Embu basi mniambie , Wanasombwa na maBus ?? Malori?? Matrekta???? Kuna WASANII?????.
HAYA MAHABA ANAYOPEWA LISSU NA WANANCHI HAYA , NIYAPIMEJE ??
Jamaani Upinzani umepigwa miaka 5 ,wakapigwa bungen, wakapigwa kwa vyomboa vya habari, wamepigwa kila mahali, hamna sehem ambayo CHADEMA walipua, yaan CCM ilikua imeshajihakikishia
TUNDI LISSU NI ZAIDI YA LOWASSA .
WAKUU NAWA AHIDI, 28/10/2020 , ASUBUHI KABISA
-Mimi na Mzazi mwenzangu lazima tumpe kura T.LISSU.
-Mama yangu lazima ampe Lissu Kura. Mzee wangu ( Prof) naye wajumbe wakamla Kichwa kupitia CCM alitaka ubunge naye LAZIMA NIMWAMBIE AMPE KURA LISSU .
-- KAKA ZANGU na wote ninaowafahamu Ndugu rafiki jamii, lazima nao naanza kuwashawishi WAMPE LISSU KURA.
TUNDU LISSU ANANIPA AMANI SANA.
yaan sitaki hata hayo maendeleo alete, nataka tu kuona
[emoji117]CCM wametoka madarakani
[emoji117]UHURU kuanzia vyombo vya habari ,haki za watu
[emoji117][emoji117][emoji117]UHURU WA KUKOSOA SERIKALI.
NB.. KUANZIA LEO, WAGONJWA WOTEEEE NITAOKUTANA NAO ,NITAWASHAWISHI KABISA, KWA MOYO WANGU WOTE WAMCHAGUE LISSU.( Na uzuri wanajua madawa hamna[emoji23][emoji23][emoji23] serikali inadaiwa na MSD mabilion na mabilion ya kitz).
HUYU MTU, ALIYEMUOKOA NJE YA RISASI 18, NAONA ANA MAKUSUDI NA MPANGO NAYE.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ninani sasa wakupinga?? Mimi ninani sasa nisimuunge mkono???
Kama nawee umeona kama mimi,, RT mpaka MATAGA wa JF wajue Lissu ni MWAMBA.
Ayayayaya huuuu moto wa Lissu ,nadhan mataga unawapa kihoro sanaaa.[emoji3][emoji3][emoji3]Kupata vichekesho kama hivi andika neno BAVICHA kisha tuma kwenda mamba 28/10/2020
Wamekosea Sana kupiga marufuki hawakujawa kuwa chadema inavichana wengi wenye muamko wa kisiasa kingine ,miaka hii ni digital hata wafanyaje lazima kionekane tu.Ivi ni mimi tuu?? Au mawani nayovaa ndio yanayonichanganya???
Ivi Wakuu Huu mvumo na upepo wa kisurisuri, gharika, ngurumo wa Lissu unakujaje ????
Wakuu Ivi ni mimi tu nayejiuliza hili NYOMI la Lissu SUMBAWANGA amelitoa wapi?????
Nauliza wakuu, Toka nianze mfatilia Lissu ktk kampeni, UKWELI NIKWAMBA KILA SIKU NYOMI LAKE LINAONGEZEKA MAELFU NA MAELFU
Embu basi mniambie , Wanasombwa na maBus ?? Malori?? Matrekta???? Kuna WASANII?????.
HAYA MAHABA ANAYOPEWA LISSU NA WANANCHI HAYA , NIYAPIMEJE ??
Jamaani Upinzani umepigwa miaka 5 ,wakapigwa bungen, wakapigwa kwa vyomboa vya habari, wamepigwa kila mahali, hamna sehem ambayo CHADEMA walipua, yaan CCM ilikua imeshajihakikishia
TUNDI LISSU NI ZAIDI YA LOWASSA .
WAKUU NAWA AHIDI, 28/10/2020 , ASUBUHI KABISA
-Mimi na Mzazi mwenzangu lazima tumpe kura T.LISSU.
-Mama yangu lazima ampe Lissu Kura. Mzee wangu ( Prof) naye wajumbe wakamla Kichwa kupitia CCM alitaka ubunge naye LAZIMA NIMWAMBIE AMPE KURA LISSU .
-- KAKA ZANGU na wote ninaowafahamu Ndugu rafiki jamii, lazima nao naanza kuwashawishi WAMPE LISSU KURA.
TUNDU LISSU ANANIPA AMANI SANA.
yaan sitaki hata hayo maendeleo alete, nataka tu kuona
[emoji117]CCM wametoka madarakani
[emoji117]UHURU kuanzia vyombo vya habari ,haki za watu
[emoji117][emoji117][emoji117]UHURU WA KUKOSOA SERIKALI.
NB.. KUANZIA LEO, WAGONJWA WOTEEEE NITAOKUTANA NAO ,NITAWASHAWISHI KABISA, KWA MOYO WANGU WOTE WAMCHAGUE LISSU.( Na uzuri wanajua madawa hamna[emoji23][emoji23][emoji23] serikali inadaiwa na MSD mabilion na mabilion ya kitz).
HUYU MTU, ALIYEMUOKOA NJE YA RISASI 18, NAONA ANA MAKUSUDI NA MPANGO NAYE.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ninani sasa wakupinga?? Mimi ninani sasa nisimuunge mkono???
Kama nawee umeona kama mimi,, RT mpaka MATAGA wa JF wajue Lissu ni MWAMBA.
Mkuu Mimi ninani hata nikupinge wewe? Mimi nitamchagua Lissu kwasababu nataka amani ya familia yangu sitaki waishi kwa uoga kisa mtu mmoja alieleta chuki katika taifa. Nitamchagua lisu namimi ninakura (23) zinazonisikiliza Mimi.Ivi ni mimi tuu?? Au mawani nayovaa ndio yanayonichanganya???
Ivi Wakuu Huu mvumo na upepo wa kisurisuri, gharika, ngurumo wa Lissu unakujaje ????
Wakuu Ivi ni mimi tu nayejiuliza hili NYOMI la Lissu SUMBAWANGA amelitoa wapi?????
Nauliza wakuu, Toka nianze mfatilia Lissu ktk kampeni, UKWELI NIKWAMBA KILA SIKU NYOMI LAKE LINAONGEZEKA MAELFU NA MAELFU
Embu basi mniambie , Wanasombwa na maBus? Malori? Matrekta? Kuna WASANII?
HAYA MAHABA ANAYOPEWA LISSU NA WANANCHI HAYA, NIYAPIMEJE ??
Jamaani Upinzani umepigwa miaka 5, wakapigwa bungen, wakapigwa kwa vyomboa vya habari, wamepigwa kila mahali, hamna sehem ambayo CHADEMA walipua, yaani CCM ilikua imeshajihakikishia.
TUNDI LISSU NI ZAIDI YA LOWASSA .
WAKUU NAWA AHIDI, 28/10/2020 , ASUBUHI KABISA
-Mimi na Mzazi mwenzangu lazima tumpe kura T.LISSU.
-Mama yangu lazima ampe Lissu Kura. Mzee wangu ( Prof) naye wajumbe wakamla Kichwa kupitia CCM alitaka ubunge naye LAZIMA NIMWAMBIE AMPE KURA LISSU .
-- KAKA ZANGU na wote ninaowafahamu Ndugu rafiki jamii, lazima nao naanza kuwashawishi WAMPE LISSU KURA.
TUNDU LISSU ANANIPA AMANI SANA.
yaan sitaki hata hayo maendeleo alete, nataka tu kuona
[emoji117]CCM wametoka madarakani
[emoji117]UHURU kuanzia vyombo vya habari ,haki za watu
[emoji117][emoji117][emoji117]UHURU WA KUKOSOA SERIKALI.
NB.. KUANZIA LEO, WAGONJWA WOTEEEE NITAOKUTANA NAO ,NITAWASHAWISHI KABISA, KWA MOYO WANGU WOTE WAMCHAGUE LISSU.( Na uzuri wanajua madawa hamna[emoji23][emoji23][emoji23] serikali inadaiwa na MSD mabilion na mabilion ya kitz).
HUYU MTU, ALIYEMUOKOA NJE YA RISASI 18, NAONA ANA MAKUSUDI NA MPANGO NAYE.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ninani sasa wakupinga?? Mimi ninani sasa nisimuunge mkono???
Kama nawee umeona kama mimi,, RT mpaka MATAGA wa JF wajue Lissu ni MWAMBA.
We sema vichekesho mlijua mwaka huu rahisi sana ila hamuamini kinacho tokea sijawahi piga kula tangu nilipo fikisha umri wa kupiga kula miaka hiyo ila mwaka huu lizame jua lichomoze lazima nipige kula ccm mmetufanya watanzania wajinga sana[emoji3][emoji3][emoji3]Kupata vichekesho kama hivi andika neno BAVICHA kisha tuma kwenda mamba 28/10/2020
Natamani kuwa km Tundu LissuLissu amekuwa Role model wa vijana...ni mtu hodari sana!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Lissu ni mpango wa Mungu Kwa Watanzania. Tumpe kura zote mwaka huuIvi ni mimi tuu?? Au mawani nayovaa ndio yanayonichanganya???
Ivi Wakuu Huu mvumo na upepo wa kisurisuri, gharika, ngurumo wa Lissu unakujaje ????
Wakuu Ivi ni mimi tu nayejiuliza hili NYOMI la Lissu SUMBAWANGA amelitoa wapi?????
Nauliza wakuu, Toka nianze mfatilia Lissu ktk kampeni, UKWELI NIKWAMBA KILA SIKU NYOMI LAKE LINAONGEZEKA MAELFU NA MAELFU
Embu basi mniambie , Wanasombwa na maBus ?? Malori?? Matrekta???? Kuna WASANII?????.
HAYA MAHABA ANAYOPEWA LISSU NA WANANCHI HAYA , NIYAPIMEJE ??
Jamaani Upinzani umepigwa miaka 5 ,wakapigwa bungen, wakapigwa kwa vyomboa vya habari, wamepigwa kila mahali, hamna sehem ambayo CHADEMA walipua, yaan CCM ilikua imeshajihakikishia
TUNDI LISSU NI ZAIDI YA LOWASSA .
WAKUU NAWA AHIDI, 28/10/2020 , ASUBUHI KABISA
-Mimi na Mzazi mwenzangu lazima tumpe kura T.LISSU.
-Mama yangu lazima ampe Lissu Kura. Mzee wangu ( Prof) naye wajumbe wakamla Kichwa kupitia CCM alitaka ubunge naye LAZIMA NIMWAMBIE AMPE KURA LISSU .
-- KAKA ZANGU na wote ninaowafahamu Ndugu rafiki jamii, lazima nao naanza kuwashawishi WAMPE LISSU KURA.
TUNDU LISSU ANANIPA AMANI SANA.
yaan sitaki hata hayo maendeleo alete, nataka tu kuona
CCM wametoka madarakani
UHURU kuanzia vyombo vya habari ,haki za watu
UHURU WA KUKOSOA SERIKALI.
NB.. KUANZIA LEO, WAGONJWA WOTEEEE NITAOKUTANA NAO ,NITAWASHAWISHI KABISA, KWA MOYO WANGU WOTE WAMCHAGUE LISSU.( Na uzuri wanajua madawa hamna, serikali inadaiwa na MSD mabilion na mabilion ya kitz).
HUYU MTU, ALIYEMUOKOA NJE YA RISASI 18, NAONA ANA MAKUSUDI NA MPANGO NAYE.
Mimi ni nani sasa wakupinga?? Mimi ninani sasa nisimuunge mkono???