Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
CCM wanaumia sana kuona hivi!

Ukiona Magufuli anaanza kujadili mafuriko ya Lissu,ujue ni kweli amelegea kama alivyosema Lissu.

Awaeleze watanzania ni nini kinamfanya abadili mitazamo/msimamo/kauli zake za awali kama sio nguvu na ushawishi mkubwa alionao Lissu unaaopimwa kupitia mafuriko ya watu kwenye mikutano yake?
JPM hofu imempanda sasa. Mpaka anaona Lissu anamzidi
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Anaweweseka kwani alikubali uongo kwamba Chadema imekufa kutokana na juhudi zake za kidikteta.
Aliwekeza pesa nyingi na nguvu nyingi kwenye kuua upinzani matokea yamekuwa ndivyo sivyo
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
BAVICHA! Wazee wa kujitekenya na kucheka!
Magufuli anakutana na umati halisi wa watanzania kila anapopita, tena wamepagawa kwa jinsi wanavyoridhishwa na uongozi wake.

BAVICHA wanatumia nguvu nyingi kutupia nyuzi nyingi JF za kumkashifu Magufuli! Na mapicha ya ku edit au za "angle"!

Kwa akili ya kindergarten nani atapata kura nyingi? Nyuzi hata mkitoa 1000 kwa siku hazipigi kura, uhalisia huko "site" Magu anacheza na uhalisia wa "site".

Mngekuwa mna akili mngejifunza kidogo kwa Dr Slaa. Kipindi yuko CHADEMA , miaka ya kuelekea uchaguzi wa 2015 alizama "cite" kwa wananchi wa vitongojini na vijijini na kuendesha kampeni iliyoikuza sana CHADEMA.
Fallen into Trap. Mtanyoka mwaka huu. Hapa tuna mpinzani halisi hakuna mapandikizi hapa.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nimeona clip moja eti yale mapiga dili makuu yameungana kwenda kuomba msamaha!!
Yaani Kuna mijitu ni minafiki nchi hii sijapata kuona!!

Lissu atosha!!
Hahahaa tutawatoa damu puani makenge hawa
 
Hapo kuna mapenzi au upuuzi
Picha zinaonyesha wazi ni za kutengeneza. Fala kama wewe na mafala wenzako ndio mtashangilia upuuzi kama huu.
😆😆😆eti za kutengeza🤣🤣🤣
hakiyaMungu mwaka huu mataga mnazaa aisee..hamkutegemea. chadema si imekufa jaman au? si mmenunua madiwani na wabunge? biashara ya kununua binadamu imewawia tamueeee?
hivi kuna itikadi inanunuliwaga nyie mataga kama siyo uzuzu?!!!!!!
 
Aisee!! Kagera wameonyesha Hasira yaani hadi Vijijini ni Nyomi
Acha kufurahia upuuzi.
FB_IMG_1600790520171.jpg
 


Ni kweli kuna Maeneo wanatumia picha za 2015 kipindi cha Lowasa kwani kwasasa hawana uwezo wa kukusanya watu wengi kuja kwenye Kampeni zao ambazo hazina sera wala mvuto zaidi ya Matusi na Chokochoko za kuivuruga Tanzania yetu yenye Umoja na Upendo.
 
Lissi Ni pasua kichwa kwa kweli,ukisikia watoto wa Mjini ndo Hawa. Lissu anafanya kampeni kwa njia nyingi mno,na huwezi kujua utamkabili kwa njia ipi. Njia aliyotumia hivi karibuni Ni moja ya njia watumiazo mawakili wakiwa mahakamani.

Kwanza anakupa mtego wa swali,hoja au maneno,ukijaa anakuweka Kati. Sasa suala la vitambuliaho vya wamachinga kamtega Jiwe,jiwe kaingia mtegoni,kwa kujibu kuwa,

"vitambuliaho sio lazima."

Tayari Mzee Baba akawa kaingia mtegoni.

Lissu kampa kubwa na kumuingiza Kati,Mzee Baba.
Akamwambia,

"Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!

Jiwe chali.
Chato hiyooooo, Oct 30
 
Acha kuandika PUMBA juha wewe! Wapuuzi kama wewe ndiyo mnaumuona huyo KICHAA ni mzalendo. Mzalendo hawezi kuliibia Taifa lake 2.7 trillions, hawezi kudharau katiba, bunge, mahakama na raia pia hawezi kufuja pesa za walipa kodi kwa kuzitumia hovyo hovyo bila idhini ya Bunge.

Kwani kwa akili zako unajua huyu kibaraka atashinda?. Acha mihemko.
 
Wazee wa Akudo band wanashangaa nini hawana macho au!
Mzee kabiga bonge la matamasha na kuwavisha mikofia ya kukatia katani wasanii lakini bado haamini Tundu Lissu ni The Greatest
 
Back
Top Bottom