Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Mkuu hizo ni ndoto tu JPM kama kawaid anashida tena kwa kishindo kaaa utulie uone
Muenez kashasema kwa sample ya kura kama zikipigwa anaondoka na 80%+ ya kura zote 😂😂😂!!!

Imagine tume ya shingo (NEC) ni yao pia sasa anashindwa vipi?
 
Muenez kashasema kwa sample ya kura kama zikipigwa anaondoka na 80%+ ya kura zote [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Ndio hapo kaka afadhali wewe umenielewa mapema sana ninachomaanisha
 
Kama vipi mnaonaje siku ya tarehe 28.10.2020 Tumwage pombe ili ulevi wake uishie hapo hapo.
Sababu ya kumwaga pombe mbona tunazo;
1.Kikotoo cha wastaafu kinaenda kuumiza wastafu akipita
2.Watumishi wa umma wapo hoi NO nyongeza ya mshahara
3.Wafanya biashara wamefilisika kwa kodi na tozo lukuki kutoka asasi na taasisi za kiserikali zilizopewa malengo ya makusanyo.
4.Sector binafsi hata mafundi nyumba tu wanazagaa mitaani kazi hamna(wamepaki vifaa na skills zao) kwa sababu maboss hawana hela
5.Kauli za kibaguzi anazozungumza majukwaani kwa kuwadhihaki walipa kodi wake/wananchi.
6.Kama awamu ya kwanza tumelimia meno basi akipewa awamu ya pili tunaenda kulimia fizi maana mpaka sasa raia wa Tz wengi hatuna meno.
7.Mratibu mkuu wa kesi ya Uhujumu uchumii(Ni rungu analolitumia kupigia adui zake ki siasa haswa wakosoaji)
8.Anaendesha nchi ki sifa zaidi bila kutumia wataalamu na wizara I mean anachoamini yeye anataka kiwe ndo cha mawazo ya Tz nzima.
9.Kaharibu mahusiano ya nchi za nje mpaka leo ukikaa meza na wazungu(wafadhili,wawekezaji) wanakuambia Tanzania ni sehemu hatari kuwekeza.Wadhamini huku Tz wanaitwa Mabeberu
10.Kaharibu namna ya kufanya kazi na viongozi wetu wa siasa leo hii ni mwendo wa kutishana badala ya kuelekezana

HATA KAMA KAFANYA MENGI YA KIMIUNDO MBINU WALIPA KODI NASI TUNATAKA RETURNS (UHAUWENI WA MAISHA NDO HITAJI LETU KUU.
Lissu ndio Anaenda kuwa surprised.
 
Hao wapuuzi waendelee kujazana ujinga tu
Acha wadanganyane hawana story nyingine za kujadili october watakuja na uzi wa CDM kuibiwa kura ... Halafu kwa taarifa yao miaka 5, anayoenda kumalizia jiwe inaenda kuwa migumu sana .... Maaana jamaa atabana akamilishe miradi yake .. hakuna cha ajira ni muda wa vijana kuangalia option za kazi nyingine wafanye sio kukaa kwa shemeji tu, vijana tufanyekazi ... Mawazo ya kusprise jiwe yaondoeni kichwani
 
Muenez kashasema kwa sample ya kura kama zikipigwa anaondoka na 80%+ ya kura zote [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Imagine tume ya shingo (NEC) ni yao pia sasa anashindwa vipi?
Tutamsuprise ili asumbuke kubadili matokeo hii inaitwa tukishindwa kumlisha nyama ya mbwa basi hata mchuzi tumnyweshe.
 
Mkuu hizo ni ndoto tu JPM kama kawaid anashida tena kwa kishindo kaaa utulie uone
😂😂😂
Mwaka huu akuna rangi mtaalamu ona nimepita mitaa ya Unguja ofisi za CCM zimepoa kama maji ya mtungi Wa Zanzibar wana sema hawa chaguwi picha
IMG_20200926_083350.jpg
 
Kama vipi mnaonaje siku ya tarehe 28.10.2020 Tumwage pombe ili ulevi wake uishie hapo hapo.
Sababu ya kumwaga pombe mbona tunazo;
1.Kikotoo cha wastaafu kinaenda kuumiza wastafu akipita
2.Watumishi wa umma wapo hoi NO nyongeza ya mshahara
3.Wafanya biashara wamefilisika kwa kodi na tozo lukuki kutoka asasi na taasisi za kiserikali zilizopewa malengo ya makusanyo.
4.Sector binafsi hata mafundi nyumba tu wanazagaa mitaani kazi hamna(wamepaki vifaa na skills zao) kwa sababu maboss hawana hela
5.Kauli za kibaguzi anazozungumza majukwaani kwa kuwadhihaki walipa kodi wake/wananchi.
6.Kama awamu ya kwanza tumelimia meno basi akipewa awamu ya pili tunaenda kulimia fizi maana mpaka sasa raia wa Tz wengi hatuna meno.
7.Mratibu mkuu wa kesi ya Uhujumu uchumii(Ni rungu analolitumia kupigia adui zake ki siasa haswa wakosoaji)
8.Anaendesha nchi ki sifa zaidi bila kutumia wataalamu na wizara I mean anachoamini yeye anataka kiwe ndo cha mawazo ya Tz nzima.
9.Kaharibu mahusiano ya nchi za nje mpaka leo ukikaa meza na wazungu(wafadhili,wawekezaji) wanakuambia Tanzania ni sehemu hatari kuwekeza.Wadhamini huku Tz wanaitwa Mabeberu
10.Kaharibu namna ya kufanya kazi na viongozi wetu wa siasa leo hii ni mwendo wa kutishana badala ya kuelekezana

HATA KAMA KAFANYA MENGI YA KIMIUNDO MBINU WALIPA KODI NASI TUNATAKA RETURNS (UHAUWENI WA MAISHA NDO HITAJI LETU KUU.
Mlibiwa mapema nyie mnaopata pesa Kwa njia za panya Sikh zenu zimekwisha, sasa ndo hivyo hakuna namna ya kurudi tens kwenye enzi zenu.

Magufuri atakuwapo sana hakuna wa kumtoa hapo kashika usukani na gari ipo speed. Ukishuka Kwa nguvu ni kufa tu.
 
Unguja nasikia wameliamsha dude wanasema Bora CORONA kuliko CCM kuna clip inaenea mtandao wazanzibar wamepania balaa
Katika kipindi ambacho CCM watapata kura ndogo huku ni mwaka huu
Uyo mgombea wao hata CCM wenyewe hawa mkubali !!
CCM imezuwia mabango ya Seif Sharif bandarini ninavyo sikia!!
CCM wamebandika picha zao kama ni wenda wazimu hawa jamaa wame changanyikwa adi chini kwenye bara bara wame bandika picha za CCM matumizi mabaya ya pesa .......
Screenshot_20200926_100428_com.android.gallery3d.jpg
 
Katika kipindi ambacho CCM watapata kura ndogo huku ni mwaka huu
Uyo mgombea wao hata CCM wenyewe hawa mkubali !!
CCM imezuwia mabango ya Seif Sharif bandarini ninavyo sikia!!
CCM wamebandika picha zao kama ni wenda wazimu hawa jamaa wame changanyikwa adi chini kwenye bara bara wame bandika picha ya CCM matumizi mabaya ya pesa .......
Siku zao zina hesabika sebulnie kwangu nimeweka count down timer kila ikipungua sekunde moja kwangu ni furaha kubwa sana
 
Watanzania tunaenda kuandika historia kuu mwaka huu itakayosomwa na vizazi na vizazi Tanzania na duniani kwa ujumla. Tunaenda kumstaafisha Jiwe siasa na Uraisi rasmi hapo October 28
Nakuonea huruma maana baada kusikia Matokeo ya Magufuli,lazima utalazwa kwa kihoroo!!
 
Back
Top Bottom