Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Nyanda okogohe lyaluma ya kwi kendeka NI YEYEYaani picha unai crop halafu utuambie Watu nyomi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyanda okogohe lyaluma ya kwi kendeka NI YEYEYaani picha unai crop halafu utuambie Watu nyomi
Juhudi zimegonga mwamba watu na LISSU TUanaumia mipesa yote waliyotumia kuwalipa the so called waunga-juhudi halafu CHADEMA bado tunakinukisha kama zamani. lazima watoe povu.
povu la nini sasa? Hata aje malaika na kuhubiri, 95% ya wapiga kura tumeshafanya maamuzi. Tutampa kura zetu za ndio mheshimiwa Lissu.Siyo tu ni kidagaa, Lissu ni hamnazo kwa kuwa hajui kuwa anaowasimulia porojo zake wanajijua. Km leo Kanda ya Ziwa anawakumbusha wavuvi kuchomewa nyavu kana kwamba ni jambo jipya. Asilolijua ni faida iliyopatikana kwa hatua hiyo. Sasa hivi aina na kiwango cha samaki wanaovuliwa wavuvi na walaji wanashukuru.
Anawaambia wafanya biashara ndogo kuwa bei ya vitambulisho ni ya kinyonyaji. Wahusika wamemjibu faida ya vitambulisho hivyo.
Anaishitumu Serikali kwa uwongo ati wajawazito wanatozwa kodi. Kwa kuwa yeye si mwanamke wala hana mjamzito hajui kuwa huduma yao imeboreshwa maradufu.
Anachukua nafasi ya wafanya biashara na kudai wengi wamefunga biashara. Kwa kuwa hakuwa nchini muda mrefu, na hasa wakati wa korona, kushuhudia Taifa likijitegemea kwa mahitaji yote kutoka kwa biashara ya ndani.
Hakika, mfa maji hutapatapa maana angalau angewauliza wagombea wa chama chake (wabunge + madiwani) kero na mahitaji ya wakazi wa maeneo husika ili porojo zake angalau ziwe na uhalisia.
Nilisema awali kwamba, baada ya kampeni zake za kashfa, lawama na dharau, anawachia wagombea wa CCM kazi nyepesi ya kuomba kura. Wanachofanya ni kutoa ushahidi ulio wazi kujibu tuhuma hizo. Na hili linafanyika kwenye Kata, nyumba kwa nyumba (ya mvuvi, mfanya biashara ndogo, mja mzito, mfanya kazi, nk).
Kwa upande wa wagombea wa chama chake wanakuwa na mtihani mgumu wa kutetea tuhuma alizozisema Boss wao. Humu JF wafuasi wanashangilia ushindi wa nyomi, kama siyo ujuha ni ni upotoshaji wa kitoto (sifa ya Mpumbavu na Lofa).
Well Noted Mkuu hajuwi sisi ndo Mabosi....povu la nini sasa? Hata aje malaika na kuhubiri, 95% ya wapiga kura tumeshafanya maamuzi. Tutampa kura zetu za ndio mheshimiwa Lissu.
Nothing more nothing less.
Hujui.....Amakweli mizigo ipo mingi.....Sijui......sogea tukae wote!Yani wanawapandisha kama mizigo binadamu wenzao, bila kuzingatia usalama wao
Well Noted Mkuu hajuwi sisi ndo Mabosi....povu la nini sasa? Hata aje malaika na kuhubiri, 95% ya wapiga kura tumeshafanya maamuzi. Tutampa kura zetu za ndio mheshimiwa Lissu.
Nothing more nothing less.
Well Noted Mkuu hajuwi sisi ndo Mabosi....povu la nini sasa? Hata aje malaika na kuhubiri, 95% ya wapiga kura tumeshafanya maamuzi. Tutampa kura zetu za ndio mheshimiwa Lissu.
Nothing more nothing less.
Mtu ambaye hawezi kufanya mkutano wa hadhara na kushinda kutwa anasumbua wananchi kwenye miji na vijiwe vyao anaambiwa anafanya campaign ya kisayansi.. UVCCM mnajua kupeana moyoNi wingi wa watu kujitokeza kumsikiliza LISSU angalia hapa ni Tarime Vijijini Leo hiii
View attachment 1582809
Polepole tangu aanze ushoga amekuwa mjinga mjinga sanapolepole huko alipo anafanya hv [emoji85][emoji85][emoji85]
Na huko ndio kwao WAITARANi wingi wa watu kujitokeza kumsikiliza LISSU angalia hapa ni Tarime Vijijini Leo hiii
View attachment 1582809
Kazi IMEKWISHA Mkuu...Na huko ndio kwao WAITARA
Wewe wasema.
Mbona Magufuli yake TISS wazalendo wamevujishia Lissu amekutana na wakurugenzi ikulu? Kila siku kigogo anavujishiwa siri na TISS wazalendo.Sasa kwenye team yake ya kampeni kuna bananga, unategemea nini hapo? Sijui lossu alifikiria nini kumuweka bananga kwenye timu yake ya kampeni
Mataarifa kibao ya kuhusu mienendo yake yanavuja kila siku
Milioni Hamsini kwa kila kijiji teh teh teh....