Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lisu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili so kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lisu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana
Napingana na ww kwenye hili. Kwanza hujafanya research yoyote. Guess umekuja na assumption kwa kuangalia picha tu.
Pili huwez sema 2015 Walikuwa wadogo wkt lowassa alikuwa watu wengi kuliko hawa wa sasa... ndio tuseme nao walikuwa wadogo No?
Huwez kusema hawako serious.. umewafanyia vetting mikutano yote ukapata majibu?
 
Mtakubali tu
IMG_20200930_161250.jpg
 
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lisu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu

Hatutaangalia kura imetoka kwa nani ila tutaangalia nani atakaeshinda kwa kura nyingi.
So kama mnaona mnalenga makundi mnaohisi yanafaida kwenu,tuacheni sisi tudeal na vijana maana hawaoni feature ndani ya ccm
 
Napingana na ww kwenye hili. Kwanza hujafanya research yoyote. Guess umekuja na assumption kwa kuangalia picha tu.
Pili huwez sema 2015 Walikuwa wadogo wkt lowassa alikuwa watu wengi kuliko hawa wa sasa... ndio tuseme nao walikuwa wadogo No?
Huwez kusema hawako serious.. umewafanyia vetting mikutano yote ukapata majibu?
Lowassa hakuwa anafanya mikutano mingi kwa siku kama Lissu..Lissu anakufuateni huko mlipo sio unakusanya mkoa mzima sehemu moja..mfano akirudi Dar afanye mkutano mmoja kwa Dar nzima hapatoshi..
 
Lile wanaloita nyomi la jana mbeya watu wamebebwa na magari wilaya zote za mkoa was mbeya,means ktk mkoa anafanya mkutano mmoja 2 magu so ukiwa na akili mingi utaona jinsi gani pumzi zimekata
 
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lisu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lisu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana
Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu Oktoba 28 naenda kupiga kura.
 
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lisu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lisu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana
Sio Kweli 100% nahii imekua propaganda mfu ya CCM toka mwaka2010 kipnd cha Dr Slaa,lakini kla Mara imefel,labda unasahau mkuu mjini vjana niwengi Sana kuliko wazee nandio maana Mara nyngi huwa mini mnajifaji tu kuwa mtashnda lakni mnapoteza.....;Nakupa Siri usio ijua kuhusu ilo kundi unaloliongelea ilo ndio kundi ambalo Mara zote linakuaga nashauku yakupga kura sio tu kwamapenzi yamgombea hampendae lakn pia kwafuraha nashauku yakufksha umri wakupga kura.au mkuu umesahau kuwa kule CCM tunavjana wachipukizi ?namara zote kule shauku yetu kwenye umri huu huwa niuchaguzi utakapo fka tupge nass kura.Mkuu yani bola huwasemee vjana wakati yamiaka30-35,Kulko Hawa wa18-29.......mi miaka nishashuhudia Hawa adi huwa wanadanganya miaka ili waandkishwe kupga kura.....Ivi maneno yako haina ukweli ata kidogo Tafuta propaganda nyingne.umesahau kuwa uko Chama chetu Kuna program kadhaa zikiongozwa na Umoja wa kinamama wachama chetu,Kama Mama ongea namwanao.Uyu mwana Alie lengwa sindio uyu ambae leo ataki tena kudanganyika kwa fryover au Kuna mwngne mkuu?
 
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lisu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lisu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana

Kuna msisitizo nauona tangu jana kwamba wanaohudhuria mikutano ya Lisu sio wapiga kura. Nadhani huu ni mkakati maalumu wa kuwaandaa watu kisaikilojia ili baadaye wakitangaza matokeo wanayopenda wao waweze kusema ni sahihi.

Msiibe kura. Waachane Watanzania wachague kiongozi wampendaye.

Uchu wa madaraka wa wana CCM ni tishio kubwa la amani nchini kwetu.
 
hivi na nyie kuwatoa wanafunzi madarasani ili wajaze uwanja hilo hulioni we mleta mada.Heshimu haki zao kwanza ndio ulete kioja chako hapa
 
CCM haitetereki ki rahisi hivyo, wanawajaza tuu "they playing you on your own game" subirini matokeo ya uchaguzi, ndio maana wenye akili washajua rais ni nani, na hata humu kwenye mitandao huwaoni CCM wamejazana kama CDM, wapo kimya wanawachora, raia wengi wenye akili pia wanajua nini kinachoendelea ndio maana wapo kimya mkoa kama DSM watu hawana time na nyie, endeleni kupiga kura tweeter na facebook.
Subiri Lissu atue Mwembeyanga usije kukimbia tu humu.
 
Hivi hata wewe mwenyewee kwa matamshi yale na majaziba yake, unamuona anafanana na mtu anaeweza kuwa raisi wa inchi??
Hvi matamshi na jazba za Magufuli huzioni? Amewezaje kuwa Rais?. Lissu atachaguliwa sababu ya rekodi yake ya uadilifu na utetezi wa wananchi tokea LEAT hadi bungeni.
 
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lisu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lisu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana
Mkuu mnalo jambo mwaka huu. Wananchi wamewakataa na hata mbingu imewakataa. Kundi la vijana ndilo lenye kuweza kufanya maamuzi, na hasira za wazazi wao hudhihirika kupitia wao.

Sera za kukumbatia maendeleo ya vitu, imeawaathiri vipato vya wazazi wengi kutokana na mzunguko wa fedha kuwa mdogo. Jambo hili huathiri mno maisha ya vijana kwa kuwa ni kundi ambalo linapenda starehe na burudani zaidi.

Vipato visivyokuwa vya uhakika ktk familia zao huwafanya nao kuwa na maisha yasiyokuwa yenye furaha, na hivyo kuhamishia hasira zao kwa watawala. Kwa hiyo basi tegemea kabisa na uwe ujasiri wa kukiona kile ambacho pengine kwa sababu unazozijua wewe mwenyewe hupendi kitokee, kwa kuwa vijana hao wanaompenda sana shujaa wao Lissu wana jambo lao siku ya tarehe 28-10-2020.
 
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lisu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lisu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana
ccm wametafuta kashifa ya lissu ili waitumie kumchafu mitandaoni wameko sasa angalia wavyo teseka mwaka huu mtakojoa dagaa
 
Hvi matamshi na jazba za Magufuli huzioni? Amewezaje kuwa Rais?. Lissu atachaguliwa sababu ya rekodi yake ya uadilifu na utetezi wa wananchi tokea LEAT hadi bungeni.
Acha kumfananisha magufuli na vitu vya hovyo. Magufuli ni superbland in the wold wide.
 
Hatutaangalia kura imetoka kwa nani ila tutaangalia nani atakaeshinda kwa kura nyingi.
So kama mnaona mnalenga makundi mnaohisi yanafaida kwenu,tuacheni sisi tudeal na vijana maana hawaoni feature ndani ya ccm
Kwa hiyo MNA deal na vijana wa kiume tu? Vijana wasichana hawako kwenye mikutano yenu na wasichana kitakwimu ni wengi kuliko vijana wa kiume
 
Back
Top Bottom