Kwa kipimo gani hasa ?!Na dar wanavyomdharau pia ni vijijini?
Akili finyu za washabiki wa Chadema,wengi elimu ni duni wamebakiza ushabiki wa kukariri mambo.Ukweli mchungu ni kwamba Meko ni fisadi kupitia Mayanga contractors
Mkuu wengine wapo kwa makusudi kupotosha wapinzani wa kweli.Baada ya uchaguzi wa mitaa mwaka jana kuna watu humu walijiapiza kuwa hawatopiga kura tena, hata mapema mwaka huu zoezi la kuboresha daftari la wapigakura likiendelea wao wakawa wanashangilia uchache wa watu walioitikia kushiriki zoezi.
Wanakwenda kuvuna walichopanda.
lazima safari hii mshike adabu na mhutu wenuHao ndio wapambe ninao wasema mimi na wala hapo sio wapiga kura , wapiga kura wapo iwa DR.MAGUFULI huo ndio ukweli mchungu kwa chadema
Magufuli ni rais wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii!Hatutorudia makosa tuliyofanya 2015!Lissu ni mgombea wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii. Atakula mwereka hatoamini anachokisikia
Sema kijijini kwenu ... Kijijini kwetu ni Lissu tu.CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word
Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaani huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anayesikika midomoni mwa wapiga kura.
Mkuu haya ni mazuzu tu wanaongea wasichokijua,kama ccm ingekuwa na wapiga kura,wangejisumbua kuiba kura,kuwazuia mawakala wa vyama pinzani,kulazimisha wakurugenzi eti wawatangaze ccm hata kama hawajashinda na kutumia vyombo vya dola hasa polisi kukimbia na masanduku ya kura na kuwabambikia kesi wapinzani ili kuwadhooshisha.Kama chadema huwa hawapigi kura kwa nini CCM huwa inategemea kura za maruhani kuchukua dola?
Hiki ndicho kinachoizamisha chadema, kujisifia na kuridhika na nyomi- nusu ya hawa watu amini usiamini ni wanaccm wanahudhuria ili kudaka point za upinzani ila wana jambo lao moyoni.
Bora umeliona hilo mkuu hawa jamaa wapo wengi sana kwenye social media lakini kwenye daftari la tume ya uchaguzi hawapo wengi ni wa kuhesabuCHADEMA wana genge la wafanya propaganda kwenye social networks, na humu JF ndo wako sana
uko kijiji gani ?Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA
Kumbe ni kutokana na macho yako binafsi..CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word
Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaani huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anayesikika midomoni mwa wapiga kura.
Ukienda mitandao mingine huwaoni.CHADEMA wana genge la wafanya propaganda kwenye social networks, na humu JF ndo wako sana
Mkuu acha kyaamsha yaache tu, huoni Kamanda Lissu yeyekampeni zake ni mjini tu! Hawa wajawahi kujifunza kutokana na makosa! Kesho tunaanza kumdekia Lissu barabara ili abweteke!CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word
Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaani huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anayesikika midomoni mwa wapiga kura.
Mzee usihofu vichinjio tunavyoBaada ya uchaguzi wa mitaa mwaka jana kuna watu humu walijiapiza kuwa hawatopiga kura tena, hata mapema mwaka huu zoezi la kuboresha daftari la wapigakura likiendelea wao wakawa wanashangilia uchache wa watu walioitikia kushiriki zoezi.
Wanakwenda kuvuna walichopanda.