Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Naona mmekutana hapa kupata nafasi ya kupumua manake mmekuwa wanyonge kishenzi nyie ma-ccm mpaka saa nyingine mnatia huruma. Naona mlipwaji mwenzenu Kawe Alumni anakuja na kukata kama maji ya mgao. Mna kazi kuitetea serikali ya kifisadi na kikabila kama hii.
 
Wakuu, huuu ndio ukweli japo ni mchungu Lakini utapaki kuwa ukweli, wote wanaomtukana lisu wajaue wanamtukana MUNGU, wanaompinga lisu wajue wanampinga MUNGU, huo ndio ukweli nalisu anaongozwa na MUNGU, hata Kama husikiii hivi na kuona huoni? Hata Kama huoni na Picha huoni? kama Picha huoni na mazingira hayakuoneshi? Hivi unajua Nguvu Ya MUNGU? Hivi unajua kuwa alichopanga MUNGU hayupo duniani wa kukizuia?

Utapinga Lakini hutaaamini na mdogo Mdogo utakuwa unashangaaa Mdogo Mdogo itakapofika tarehe 16 hapo mtatamani kumuondoa kwenye kinyanganyiro na mtashindwa kumtoa walahi nawaambia
 
Baada ya uchaguzi wa mitaa mwaka jana kuna watu humu walijiapiza kuwa hawatopiga kura tena, hata mapema mwaka huu zoezi la kuboresha daftari la wapigakura likiendelea wao wakawa wanashangilia uchache wa watu walioitikia kushiriki zoezi.

Wanakwenda kuvuna walichopanda.
Mkuu wengine wapo kwa makusudi kupotosha wapinzani wa kweli.
 
CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word

Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaani huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anayesikika midomoni mwa wapiga kura.
Sema kijijini kwenu ... Kijijini kwetu ni Lissu tu.
 
Mkuu Niko vijijini nna zaidi ya week....nashangaa unavyosema huko Chadema haijulikani...huku habari ni Lissu..Kama haina wapiga Kura mbona hua mnaiba kura!!.... Watu wamechomewa nyavu unawaelza Nini wewe kuhusu magu??
 
Hata ungelikuwa na wapiga kura hadi wa maroboti, Lakini kila ukipigiwa kura, matokeo yanapinduliwa na kisha wewe unathibitiwa usihoji lolote kuhusu uhalifu huo, je utashinda vipi hapo?? Ama hukusikia jumla ya kura alizopata DK Slaa au Lowassa mwaka 2015? Kwanini walituma polisi kwenda kukamata timu ya vijana waliokuwa wakikusanya matokeo na kujumlisha kura toka mikoani? Mwaka huu, haya yote ndio ya kudeal nayo, Lazima tulinde kura na tuhakikishe tunapata matokeo yaliyo sawa na ya haki ili mshindi apatikane kwa haki!
 
Kama chadema huwa hawapigi kura kwa nini CCM huwa inategemea kura za maruhani kuchukua dola?
Mkuu haya ni mazuzu tu wanaongea wasichokijua,kama ccm ingekuwa na wapiga kura,wangejisumbua kuiba kura,kuwazuia mawakala wa vyama pinzani,kulazimisha wakurugenzi eti wawatangaze ccm hata kama hawajashinda na kutumia vyombo vya dola hasa polisi kukimbia na masanduku ya kura na kuwabambikia kesi wapinzani ili kuwadhooshisha.
 
Hiki ndicho kinachoizamisha chadema, kujisifia na kuridhika na nyomi- nusu ya hawa watu amini usiamini ni wanaccm wanahudhuria ili kudaka point za upinzani ila wana jambo lao moyoni.
 
CHADEMA wana genge la wafanya propaganda kwenye social networks, na humu JF ndo wako sana
Bora umeliona hilo mkuu hawa jamaa wapo wengi sana kwenye social media lakini kwenye daftari la tume ya uchaguzi hawapo wengi ni wa kuhesabu
 
CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word

Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaani huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anayesikika midomoni mwa wapiga kura.
Kumbe ni kutokana na macho yako binafsi..

Na mimi binafsi naona Lissu na Maalimu Seif watashinda kwa 90% each....

Magufuli anapata 2% na kurudi kwao Chato empty handed!

Haya,na mimi utasemaje hapo?
 
Wapiga kura wetu ni wengi mno, tena namba moja ni wana CCM wana hasira sana
 
M
CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word

Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaani huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anayesikika midomoni mwa wapiga kura.
Mkuu acha kyaamsha yaache tu, huoni Kamanda Lissu yeyekampeni zake ni mjini tu! Hawa wajawahi kujifunza kutokana na makosa! Kesho tunaanza kumdekia Lissu barabara ili abweteke!
 
Baada ya uchaguzi wa mitaa mwaka jana kuna watu humu walijiapiza kuwa hawatopiga kura tena, hata mapema mwaka huu zoezi la kuboresha daftari la wapigakura likiendelea wao wakawa wanashangilia uchache wa watu walioitikia kushiriki zoezi.

Wanakwenda kuvuna walichopanda.
Mzee usihofu vichinjio tunavyo
 
Back
Top Bottom