TCRA wapo?subirini
 
Hii ni saa ngapi mkuu na kituo gani kitaonesha?
 
Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lisu alikuwa hapo hapo mwanza mjiini viwanja vya Sifa naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!

Chadema kulikoni?
Viwanja vya sifa vpo mtaa gani apa Mwanza?. Magufuli kupta Tabora Singida nisawa ila Lissu ndio tatzo eee?Tulia tu ndugu yangu elfu2015 Sasa Kanda yaziwa ndio tulimuokoa ila Sasa hakuna namna tutamnyoosha tu.acha tuzd pewa sera.....ondoa wivu maana nao niuchaw pia
 
Duu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
28/10/2020 Ni siku ya kumpangia kazi nyingine tuliyemwajiri kwenye OFISI nyeti ya umma mwaka 2015.

Na kama mwajiri, nafikiria kumpa kazi ya kuchunga mbuzi kwenye kiwanja Cha ndege kile kilichopo kijijini kwake.
TUNAMFANYIA - CATEGORIZATION 🙂 🙂 🙂 🙂
 
Kazidiwa tayari Mwanza mjini kakabwa koo alikuwepo hapo anarudi tena.keshaishiwa majimbo ya kutembelea pumzi imekata alikuwa viwanja vya furahisha juzi tu
 
Mkuu umetisha, kuna kipindi ulikuwa fan mkubwa wa kijani...Ila naona umeamua kumpangia kazi nyingine, kila la kheri.
 
Mimi pia
 
Mgeni ukipewa makaribisho mazuri usipazoee pa mwenyeji kila siku hodi haifai

Lisu alikaribishwa vizuri sana na wana mwanza mjini alipoenda hapo mjini viwanja vya furahisha vilivyoko mwanza mjini sasa naona imekuwa nongwa Huyo anapiga hodi tena anarudi mwanza mjini
 
Swali ; Kama ukiangalia mkanda wa Yesu unaumizwa na wale wayahudi;

Je; unapata wapi nguvu ya kushangilia maumivu aliyopitia Lissu?

Je, pilato katika maisha haya ni Nani Kati yetu!

na wafungwa kina Baraba wa leo ni kina Nani?
 
Duh!
 
Unapowashwa utakunwa tu wewe, " Ratiba za wagombea wote zipo NEC" na zinafuatwa kuepusha mgongano baina ya vyama .

MECO amekuwa akikiuka kila siku, anajifanya kasimamishwa na watu barabarani, mara sijui mkutano wa dharura, sasa ratiba yake kanda ya ziwa imeisha, labda atumie ujanja wa kwenda kuzindua VYEREHANI atumie huo mwanya kuhutubia.
 
Mungu ambariki, kumlinda na kumuepusha na mabaya yote mja wake Tundu Antiphas Lissu kwa Jina Lake Yesu Kristo!

Amuepushe na mabaya na wabaya wote kwa Jina Lake Yesu Kristo
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…