Kipimo cha ushindi kingekuwa ni nyomi Lowassa angeshinda asubuhi na mapema. Wapinzani mnakwama sana.
Sasa Mlijifungia 5 days na kuleta aibu ya Karne mpaka Wazee wenu Wamekasirika ...stay tuned kuanzia kesho hapa hapa
 
Sasa Mlijifungia 5 days na kuleta aibu ya Karne mpaka Wazee wenu Wamekasirika ...stay tuned kuanzia kesho hapa hapa
Wewe hujui chochote unatokwa na mapovu ya bure kabisa... tunaojua nini kinaendelea wala hatuna pressure.
 
Kipimo cha ushindi kingekuwa ni nyomi Lowassa angeshinda asubuhi na mapema. Wapinzani mnakwama sana.
Mpaka sasa maji ya shingo,hata dalili za ushaarabu ulioonyeshwa kwa kipindi hiki kifupi Cha kampeni kinaanza kuingia mashaka. Yafaa mjitafakari hata Kama maji ya shingo.badilisheni mbinu zenu , acheni mbinu chafu na mwende kwa wapiga kura na mbinu zinazo kubalika. Ili kumbukeni pia kuwa wapinzani mtapata nafasi ya kujifunza mnakosea wapi au mlikosea wapi.
 
Mkuu sasa hivi wanagombana wao kwa wao hakukaliki huko LISSU balaa
 
Ndo sababu mwenyekiti wa mboga mboga kapumzika
 
Comrade chama chetu tuna vitengo makini vilivyojitosheleza kila sekta. Sijui utaongea kitu gani kiwe kigeni kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…