The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Subiri kidogo nimwelekeze hawara ya bibi yako mzaa babu yakoTuonyeshe na jukwaa kuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri kidogo nimwelekeze hawara ya bibi yako mzaa babu yakoTuonyeshe na jukwaa kuu.
Na wanakata mauno si utaniLumumba kumechafuka, kila mmoja anamlaumu mwenzake.
Wamebaki wanacheza ngoma ya Lissu.
Ha haa.. Mbona mnapanic jamani. Ni ombi dogo tu kwani kuna shida ganiSubiri kidogo nimwelekeze hawara ya bibi yako mzaa babu yako
Ushauri,akubali kubadilisha gear angani.Aende kwa wapiga kura na wimbo was Uhuru,haki na maendeleo ya kweli.Mwenyekiti wao hizi picha zinamfanya atembee na glucose
Wamesha pata upofu,hata hawaoni Tena.Hivi nguli Mangula hawasaidii hawa ma-layman wa siasa? Au wanampuuza?
#JPMOut28/10
Kwanini,mnashindana na ukweli,au maana ya haki huinua taifa bado kwa wengine ,haijaeleweka .Kama no hivyo tuuangalie msemo huu kwa maana ya kiimani Sasa.Lisu ni kidagaa tu na oktoba ataelewa kwanini tunamuita ni kidagaaView attachment 1582862
Kabisa Mkuu kuanzia kesho Watu Maaarufu na Wazee wa Taifa wataanza kusimama upande wa LISSU .stay tuned hapa hapaUshauri,akubali kubadilisha gear angani.Aende kwa wapiga kura na wimbo was Uhuru,haki na maendeleo ya kweli.
Mkuu hyo Creche msamehe...Kwanini,mnashindana na ukweli,au maana ya haki huinua taifa bado kwa wengine ,haijaeleweka .Kama no hivyo tuuangalie msemo huu kwa maana ya kiimani Sasa.
Itakuwa ni habari njema Kwa Watanzania na taifa letu.Kabisa Mkuu kuanzia kesho Watu Maaarufu na Wazee wa Taifa wataanza kusimama upande wa LISSU .stay tuned hapa hapa
Kipimo cha ushindi kingekuwa ni nyomi Lowassa angeshinda asubuhi na mapema. Wapinzani mnakwama sana.Ni wingi wa watu kujitokeza kumsikiliza LISSU angalia hapa ni Tarime Vijijini Leo hiii
View attachment 1582809
View attachment 1582809View attachment 1582809
Sasa Mlijifungia 5 days na kuleta aibu ya Karne mpaka Wazee wenu Wamekasirika ...stay tuned kuanzia kesho hapa hapaKipimo cha ushindi kingekuwa ni nyomi Lowassa angeshinda asubuhi na mapema. Wapinzani mnakwama sana.
Wewe hujui chochote unatokwa na mapovu ya bure kabisa... tunaojua nini kinaendelea wala hatuna pressure.Sasa Mlijifungia 5 days na kuleta aibu ya Karne mpaka Wazee wenu Wamekasirika ...stay tuned kuanzia kesho hapa hapa
Tarime siku zote huwa hawapindishi mambo hongereni makamanda.
Safarini IringaUnapanda loli unapewa buku tano ya kura mjiniView attachment 1582819
Mpaka sasa maji ya shingo,hata dalili za ushaarabu ulioonyeshwa kwa kipindi hiki kifupi Cha kampeni kinaanza kuingia mashaka. Yafaa mjitafakari hata Kama maji ya shingo.badilisheni mbinu zenu , acheni mbinu chafu na mwende kwa wapiga kura na mbinu zinazo kubalika. Ili kumbukeni pia kuwa wapinzani mtapata nafasi ya kujifunza mnakosea wapi au mlikosea wapi.Kipimo cha ushindi kingekuwa ni nyomi Lowassa angeshinda asubuhi na mapema. Wapinzani mnakwama sana.
Hapa na gonga Kahawa kijana sisi ndo Taifa kesho karibu sana hapa hapa KIMENUKA ..Wewe hujui chochote unatokwa na mapovu ya bure kabisa... tunaojua nini kinaendelea wala hatuna pressure.
Mkuu sasa hivi wanagombana wao kwa wao hakukaliki huko LISSU balaaMpaka sasa maji ya shingo,hata dalili za ushaarabu ulioonyeshwa kwa kipindi hiki kifupi Cha kampeni kinaanza kuingia mashaka. Yafaa mjitafakari hata Kama maji ya shingo.badilisheni mbinu zenu , acheni mbinu chafu na mwende kwa wapiga kura na mbinu zinazo kubalika. Ili kumbukeni pia kuwa wapinzani mtapata nafasi ya kujifunza mnakosea wapi au mlikosea wapi.
Kwa mpenda haki yoyote ,hiyo no habari njemaMkuu sasa hivi wanagombana wao kwa wao hakukaliki huko LISSU balaa
Comrade chama chetu tuna vitengo makini vilivyojitosheleza kila sekta. Sijui utaongea kitu gani kiwe kigeni kwetu.Mpaka sasa maji ya shingo,hata dalili za ushaarabu ulioonyeshwa kwa kipindi hiki kifupi Cha kampeni kinaanza kuingia mashaka. Yafaa mjitafakari hata Kama maji ya shingo.badilisheni mbinu zenu , acheni mbinu chafu na mwende kwa wapiga kura na mbinu zinazo kubalika. Ili kumbukeni pia kuwa wapinzani mtapata nafasi ya kujifunza mnakosea wapi au mlikosea wapi.