johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa akili zako za mbege mbege ni lazima uwaze umbea wakati wote!Sasa dadangu ,Ndio maana mlichapisha fomu moja ya kugombea urais ndani ya chama. Kuna mambo unaeza kuyasemea hasa yako na mke wako lkn ww cyo chadema si lolote si chochote.ila dadangu wewe ni mbea san.jukwaa la udaku linakufaa.
Hivi uanjua ata Hashim Rungwe mikutano yake anafanyia maeneo Kama ya kariakoo, sokoni au stendi kwanini? Cos anajua atapata watu wengi ata wapita njia fresh tu atapata picha kuwa kajaza nyomi!Huu ni umati wa wananchi waliojitokeza leo kumlaki Mgombea Uraisi wa Jamuhuru ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe.Tundu Lissu.
View attachment 1553315
Njia rasmi ni ipi?Lissu mjanja sana anatumia njia zisizo rasmi kufikisha ujumbe anakubalika. Kariakoo kabisa kwa kusema kalakiwa na watu?
Siku ya mapokezi alivaa hivyo?Msije mkawa mnapost picha za siku ya mapokezi yake akitokea kwa mabeberu kwenye matibabu maana CHADEMA drama haziwaishii
Umenena mkuu, mi mwenyewe Niko kariakoo mpaka mda huu na ndiko nafanyia shughuli zangu, huku yanga wamepita juzi wote tulikusanyika barabarani Happ Msimbazi road kuona mbwembwe zaoHapo kariakoo huwa wanamlaki yeyote yue, hata wewe ukipita ba balo la mitumba watakushangilia, akienda mtu kula takataka watamshangilia, wakienda askari kupiga watu watashangiliwa mwizi akiiwapua anashangiliwa hata aliyekwapuliwa naye hushangiliwa.
Bwashee sera na uongozi huanzia ndani ya familia!
Ukifeli kwenye chama huwezi kufaulu ukipewa serikali!
Huyu jamaa anatafuta Shari na FFU, kilichompeleka sokoni na matarumbeta Nini?Hapo kariakoo huwa wanamlaki yeyote yue, hata wewe ukipita ba balo la mitumba watakushangilia, akienda mtu kula takataka watamshangilia, wakienda askari kupiga watu watashangiliwa mwizi akiiwapua anashangiliwa hata aliyekwapuliwa naye hushangiliwa.
Hashim Rungwe anafanyia mikutano yake sokon au stendi na maeneo kam hayo ya jariakoo! Unajua kwann?Siku ya mapokezi alivaa hivyo?
Mbege ni kinywaji cha asili na biashara pia ,haina madhara kwa afya.tatizo ni nini.hujawahi kuwaza kwa usahihi.Kwa akili zako za mbege mbege ni lazima uwaze umbea wakati wote!
Katika uchaguzi mkuu huu Chadema wanajinadi kwa kaulimbiu ya Uhuru wa watu, Haki za watu na Maendeleo ya watu.
Nauliza tu, hivi vitu vimo ndani ya Chadema?
Kwa mfano wanachadema wako huru ndani ya chama chao?....Je wana haki sawa mfano uteuzi mgombea ubunge jimbo la Segerea haki ilitendeka? Nk...nk
Maendeleo hayana vyama!
Shari gani we "MAKOTA"? Nchi hii sio mali ya CCM pekee, acha upuuzi.Huyu jamaa anatafuta Shari na FFU, kilichompeleka sokoni na matarumbeta Nini?
Mbavu zangu mye, [emoji23]Hapo kariakoo huwa wanamlaki yeyote yue, hata wewe ukipita ba balo la mitumba watakushangilia, akienda mtu kula takataka watamshangilia, wakienda askari kupiga watu watashangiliwa mwizi akiiwapua anashangiliwa hata aliyekwapuliwa naye hushangiliwa.
Kwani sikuhiyo alipita kkoo?Msije mkawa mnapost picha za siku ya mapokezi yake akitokea kwa mabeberu kwenye matibabu maana CHADEMA drama haziwaishii
Inakuhusu nini.ongea vitu vyenye tija.Mbona mmechagua viwanja vidogo vidogo bwashee?