Wanaofurika mikutano ya Tundu Lissu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura
Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana
Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno
Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo
Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu
Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.
Tafsiri ingine ni kuwa Lissu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana.