Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lissu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lissu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana.
We unawajua?
 
Nimeandikisha wapiga kura novemba mwaka Jana 90% ya waliojiandikisha walikua miaka17 wanaotimiza 18 mwaka huu Hadi 21 wengine walikua na 16 wanaomba nao waongezewe mmoja ili waandkishwe kwa hiyo msijidanganye hao wote wanaohudhuria mikutano ya Lissu kwa asilimia kubwa wamejiandikisha
 
Watanzania watachagua raisi ila siyo huyoo jamaa yenu. Wee fuatilia comed zake tu hasa akiwa anahutubia, halafu niambie kama kweli unaweza dhani ni mgombea uraisi. Yaanii kiufupi hakuna mwenye akili timamu atamchagua.
Mkuu muda ni rafiki mzuri sana. Let's wait and observe nini kitakachojiri.
 
Tafadhali sana sana tufahamishwe shujaa huyu atakuwa wapi leo. October imewadia tunafuta vumbi kadi zetu za kupiga kura tayari kutumia demokrasia yetu kwa namna ambayo haijapata kuonekana tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe.
 
Back
Top Bottom