Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wenye akili nyingi ndiyo wamesha fanya uamuzi wa kumchagua mh LissuWatanzania watachagua raisi ila siyo huyoo jamaa yenu. Wee fuatilia comed zake tu hasa akiwa anahutubia, halafu niambie kama kweli unaweza dhani ni mgombea uraisi. Yaanii kiufupi hakuna mwenye akili timamu atamchagua.
Sent using Jamii Forums mobile app