Sawa tuchagulieni huyo aje atatue hizo sewage system! Ila nae asipotekeleza usishangae..😂
 
...Vp Becky?...😘😘😘.
 
Tatizo Ni CCM
 
Maendeleo ni hatua, kuwapa uongozi chama cha Mbowe ni sawa na kujichimbia kaburi na kujizika mwenyewe.
 
ndo ujinga wa wana CCM unapoanzia ,kutetea utumbo wa wazi
 
Uko sahihi Rebecca kwa ushauti wako mzuri, tutalizingatia hilo, kura zote ni kwa TAL
 
Kwa iyo ktk kipindi chake hakupaswa kuja na ubunifu wa namna ya kulitatua??

Wewe jitathmini na hoja zako pia unachokiandika
 
Hata mimi wananishangaza, as if hawastahili maisha bora ambayo ni wajibu wa serikali
watu wanatetea ujinga tu ,mi wanaccm wa segerea nimewakubali Bonnah Kamoli hajawahi kufanya lolote ,hajawahi kuitisha hata mkutano kuongea na wananchi miaka 5,sasa hivi wakati wa kampeni anaibuka ukiona njia za segerea hazifai hata vitu vya polisi hamna huko ndani ndani .Wana CCM wa hapa wenyewe wanasema hawamchagui tena hajafanya kitu ,ni vizuri kutetea pale panapostahili ila kutetea miundo mbinu hovyo kisa waliopita hawakufanya lolote ni ujinga ,ccm ina miaka 60 hawana jipya mambo ni yale yale tu
 
Imesha julikana, mipango ya maendeleo inayosomwa wakati wa budget ni hewa, inayotekelezwa ni kwa utashi na maamuzi ya mtu mmoja, nikifanikiwa kukumbuka jina lake nitamwombea kwa Mungu amhurumie.
 
Acha blah blah kwa kifupi Magufuli Hana chake arudi kijijini akachunge ng'ombe, mshamba huyo!
 
Kwa iyo ktk kipindi chake hakupaswa kuja na ubunifu wa namna ya kulitatua??

Wewe jitathmini na hoja zako pia unachokiandika
Mkuu kuwa na kichwa kielewa sijaandika kuwa asije na solution isipokuwa asibebeshwe mzigo wote utafikiri yeye ndio alieratibu mpango mji wa Hilo jiji toka limeanza.. akiwa Kama kiongozi anatakiwa alione na sio kwamba asifanye mengine kisa alione hilo tu.. Kwanza hilo mamlaka za jiji zilipaswa zilimalize tatizo bongo mmezoea kila kitu atatue rais tu utafikiri kwenye majiji hakuna viongozi na hawayaoni haya.. Leo mnakuja kumlaumu mtu alietawala miaka 5 tu wakati Kuna watu huko tatizo lilikuwepo miaka nenda rudi! Kwanini hamkuwavika hayo majoho ya lawama..?? Hizo pesa zinazoingia kwenye majiji na kujitapa na hizo wilaya sahivi mnaziita mkoa zinasaidia nini sasa kama wanajua miaka nenda rudi tatizo mitaro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…