Mnhhhhhh wewe miaka yote unajua kuna matatizo mvua ikinyesha,halafu unapewa uongozi unaanza na kunajenga fly overs?!?..ni kudharau wananchi au sifa tu???.. mbona ameweza kuijenga Chato, ameshindwa nini kuweka miundo mbinu sawa Dareslaam....???
Hapa tunaongelea sewage system hilo ni swala la serikali 100%
kutupa takataka hovyo pia ni la serikali, kama ime ignore sewage system, itaweza vipi ku mobilize watu wasitupe taka...??? kuna dharau flani hivi kutoka kwa serikali!
I'm glad unajua kuwa kila kiongozi atakuja na yake, sisi tumeshaona ya MAGUFULI na flyovers zake, its TIME for Lissu.