Anapendwa sababu ni binadamu ila kura zetu hapati. Kura zetu kwa Magufuli tu.Mimi ni kati ya wale ambao hawakutegemea huyu jamaa kuwa na ushawishi wa hivi, na nakiri kuwa simkubali kama kiongozi ila namkubali kama mwanaharakati.
Ila jamaa anapendwa, na nadhani hata CCM hawakutegemea hii. mimi mwenyewe sikutegemea kama atakuwa na ushawishi hivi. Aliporudi watu wakaenda kumpokea nilidhani ni viajan tu wa Dar wamepandwa mzuka.
Ila hata mikoani kila anapoenda nyomi kama lote. Jana nimeshangaa kuona Sengerema watu wamejaa kama wote wakimsubiri alipowadia kwa boti.
Ila kuna mammbo mengine yanafanyika yanachekesha, mfano kukimbiza kivuko ili wasimbebe lissu ni jambo la kuchekesha sana aisee.
Sidhani kama atashinda maana tume ni ile ile, CCM ni ile ile, lakini nilikuwa kati ya wale waliodhani Magu atapita kwa 85% ila kwa mambo yalivyo hiyo % itashuka.
Nilihisi Zitto ataifanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani, ila CHADEMA naona bado ina nguvu sana na kubaniwa kote kufanya siasa kwa miaka mitano.
Hawezi kuja hapa na kama akija mimi nitakuwa wa kwanza kumuuliza swali gumu mno ambalo naamini hatoweza kunijibu.Lissu alisema leo angekua JF kujibu maswali lakini naona kaingia mitini. Ha ha ha ha haa . kaogopa maswali magumu
Niko hapa uliza maswali yako......lkn jitahidi kwanza kuboresha matumizi ya r na l kwanza....Lissu alisema leo angekua JF kujibu maswali lakini naona kaingia mitini. Ha ha ha ha haa . kaogopa maswali magumu
Mwambie meko aje ajibu maswali KwanzaLissu alisema leo angekua JF kujibu maswali lakini naona kaingia mitini. Ha ha ha ha haa . kaogopa maswali magumu
Kama kura inapigwa na wananchi atashinda kaulize KANU Kenya ilikuwajeMimi ni kati ya wale ambao hawakutegemea huyu jamaa kuwa na ushawishi wa hivi, na nakiri kuwa simkubali kama kiongozi ila namkubali kama mwanaharakati.
Ila jamaa anapendwa, na nadhani hata CCM hawakutegemea hii. mimi mwenyewe sikutegemea kama atakuwa na ushawishi hivi. Aliporudi watu wakaenda kumpokea nilidhani ni viajan tu wa Dar wamepandwa mzuka.
Ila hata mikoani kila anapoenda nyomi kama lote. Jana nimeshangaa kuona Sengerema watu wamejaa kama wote wakimsubiri alipowadia kwa boti.
Ila kuna mammbo mengine yanafanyika yanachekesha, mfano kukimbiza kivuko ili wasimbebe lissu ni jambo la kuchekesha sana aisee.
Sidhani kama atashinda maana tume ni ile ile, CCM ni ile ile, lakini nilikuwa kati ya wale waliodhani Magu atapita kwa 85% ila kwa mambo yalivyo hiyo % itashuka.
Nilihisi Zitto ataifanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani, ila CHADEMA naona bado ina nguvu sana na kubaniwa kote kufanya siasa kwa miaka mitano.
Sahihi kabisaMimi ni kati ya wale ambao hawakutegemea huyu jamaa kuwa na ushawishi wa hivi, na nakiri kuwa simkubali kama kiongozi ila namkubali kama mwanaharakati.
Ila jamaa anapendwa, na nadhani hata CCM hawakutegemea hii. mimi mwenyewe sikutegemea kama atakuwa na ushawishi hivi. Aliporudi watu wakaenda kumpokea nilidhani ni viajan tu wa Dar wamepandwa mzuka.
Ila hata mikoani kila anapoenda nyomi kama lote. Jana nimeshangaa kuona Sengerema watu wamejaa kama wote wakimsubiri alipowadia kwa boti.
Ila kuna mammbo mengine yanafanyika yanachekesha, mfano kukimbiza kivuko ili wasimbebe lissu ni jambo la kuchekesha sana aisee.
Sidhani kama atashinda maana tume ni ile ile, CCM ni ile ile, lakini nilikuwa kati ya wale waliodhani Magu atapita kwa 85% ila kwa mambo yalivyo hiyo % itashuka.
Nilihisi Zitto ataifanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani, ila CHADEMA naona bado ina nguvu sana na kubaniwa kote kufanya siasa kwa miaka mitano.
Tuliambiwa atakuwa hapa JF saa mbili hadi saa nne asubuhi. Hayo ya kupitia maswali elfu unayajua wewe peke yako.Wewe uliuliza swali gani gumu linalokuwasha hadi saivi.
Hadi kushindwa kukubali maelekezo yaliyotolewa kua hayo maswali elfu atayapitia kwanza yote kisha ataleta majibu.
Tume ilikuwa huruKama kura inapigwa na wananchi atashinda kaulize KANU Kenya ilikuwaje
Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
CCM wamebaki na makundi mawili tu Tanzania: 1. Wanaccm walio na maslahi ya moja kwa moja na chama (wachumia tumbo) 2. Raia wasio na uelewa juu ya haki na wajibu wa serikali inayoongoza kwa wananchi wake.Anapendwa na vilaza wa ufipa
Sijawahi ona umeandika point sasa hayo maswali magumu unategemea aulizwe na nani? Kama waulizaji wenyewe ndio kina nyinyi, Vibaraka wa Fisadi LowassaLissu alisema leo angekua JF kujibu maswali lakini naona kaingia mitini. Ha ha ha ha haa . kaogopa maswali magumu
Unamaanisha "Johnbosco" 😅Bosco ñijambazi
Hata mi mwenyewe sijawahi kukuona umeandika point. Ni full utopolo.Sijawahi ona umeandika point Sasa ayo maswali magum unategemea aulizwe nanani?kama waulzaji wenyewe ndio kinanyinyi,Vibaraka wa Fisadi lowasa
.Tuliambiwa atakuwa hapa JF saa mbili hadi saa nne asubuhi. Hayo ya kupitia maswali elfu unayajua wewe peke yako.