Huyu bwana anaushawishi mkubwa sn hukumbuki mpaka spika na mwanasheria mkuu wa serikali walikua wanaomba Tundu Lissu aweke mambo sawa?
Ndipo JK ambaye hapendi unafiki akasema maneno yafuatayo.....

"Ni heri Dr.Slaa ashinde urais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge." Maneno ya Rais Kikwete mwezi Septemba mwaka 2010.
 
Lissu alisema leo angekua JF kujibu maswali lakini naona kaingia mitini. Ha ha ha ha haa . kaogopa maswali magumu
Nilibahatika kuona swali lako lilikiwa la kishamba tu nikajaribu kukujibu Mimi badala ya Lisu bahati mbaya uzi ulikuwa umeshafungwa
 
Mzee tupo kwenye kampeni huo upuuzi ulioandika unategemea nani atausoma?? Lissu amenifundisha kitu kikubwa maishani ni si kingine, ni kuwa na msimamo na kile unachokiamini. He is going to win this election.
 
Hawezi kuja hapa, na kama akija mimi nitakuwa wa kwanza kumuuliza swali gumu mno ambali naamini hatoweza kunijibu.
Unaweza kuwa na swali ambalo Lissu atashindwa kukujibu wewe?? Unafikiri huyo ni Lowassa eti
 
Tuliambiwa atakuwa hapa JF saa mbili hadi saa nne asubuhi. Hayo ya kupitia maswali elfu unayajua wewe peke yako.
Dada kuwa muelewa maswali elf si jambo dogo. Nadhani kwa umri wako ulipitia darasani. Lazima afanye kitu kinachoitwa Sorting ndio apate kujibu. Mengine ni ya kisera mengine ni ya jumla. Lazima ajibu akiconsult ILANI yao ya uchaguzi kuepuka any possible contradiction. Wee kalia ushabiki
 
CCM ishakwisha!! madharau yalizidi mno huu ndiyo mshahara unaowafaa.
 
Kwa watu wasijua na hasa wafuasi/shabiki wa HUYO humu JF, wakimwita NiYeyee kama walikuwa hawajui, watambue kuwa Uchaguzi wa vyama vingi, sasa umebadilika kuwa ushindani wa vyama na siyo wa wagombea. Ushindani wa vyama kwa maana iwapo chama kikiingia madarakani kitawafanyia nini wapiga kura kuwaondoa kwenye hali iliyopo sasa ya maendeleo kwenda mbelr zaidi kuondokana na adui umaskini, maradhi na ujinga.

Kuna chama wagombea wake wananadi Sera ya Uhuru na Haki. Najiuliza kwa sauti kama kuna Mtanzania ambaye hajitambui kuwa yuko huru!!

Naamini kila mwananchi anajua yuko huru na ana haki za kutumia uhuru wake huo. Yawezekana kiwango cha uelewa wa uhuru na haki vikatofautiana kati ya mtu na mtu. Lakini hii haina maana hakuna uhuru wala haki. Mwananchi adingekuwa huru asingejiandikisha kupiga kura, kushiriki kwenye kampeni kwa hiari, na siku ya kupiga kura akaenda au asiende kupiga kura.

Kuna chama kinabeza maendeleo yaliyopo ni ya vitu. Sina uhakika kama wagombea wanajua mahitaji ya wapiga kura! Mwananchi, hata wewe na mimi, maendeleo ni vitu (mali aliyokuwa nayo mtu).

Vijijini ni jamii ya wakulima, wavuvi, na wafugaji. Je, mahitaji yao kwa maendeleo ni nini? Sera zinazojibu swali hili ndizo zitakipa hicho chama ushindi.
 
Lissu alisema leo angekua JF kujibu maswali lakini naona kaingia mitini. Ha ha ha ha haa . kaogopa maswali magumu
Jane kuwa na subira...mambo ni mengi na kampeni ndiyo zimepamba moto muda wa lala salama ingawa wa kwetu kila uchao ni mapumziko.

Atazijibu tu tena kwa ufasaha mkubwa!! Lissu hajawahi kuwaangisha watanzania hata mara moja!! Wana imani kubwa mno kwake na ndiyo maana kila aendako wanamfuata kwa maelfu na maelfu ili kusikia maneno ya matumaini mapya toka kwake!!
 
Shida sio kupendwa, kuiondoa sisiemu madarakani inahitaji mabadiliko ya kimfumo.
 
Napata Shida Sana Kuona watu wanabishana na Wafuasi wa Chadema.

Huu ndio muda wao Wa kufurahii na Baada ya Tarehe 28 Ni Vilio vya kutosha maana hawataamini Kitachokeaa😂🤣😂🤣😂

Sasa Nyie Tulieni Walete update Hata za Malaika kuhudhuria Mikutuno ya Lissu , walete update za kujifariji na kujipa raha ndio Muda waoo Waacheni maana Wanaelekea ukingoni.

Dr Johne Magufuri Tunamwitaji sana na hatuwezi kumpoteza tutamtetea kwa gharama yoyote ile ili Abaki Madarakani Akaivushee nchii Ili watoto wetu waje kufaidikaaaa.

Na Mwisho NISEME. HATUWEZI KUKABIDHI NCHI KWA WAHUNI WASIOWEZA HATA KUJINGOZA KWA DEMOCRASIA NDANI YA CHAMA CHAO

WACHENI CHADEMA WAFURAHI NDIO MUDA WAO.
 
Umemaliza? Chambua na CUF, NCCR, ACT, UDP n.k
 
Dugu wananchi wenzangu nawaombeni msifanye makosa Siku ya tarehe 28 kuchagua Tundub Lissu kapige kura ya Haki kuondoa uongozu zalimu wa Magufuli Uongozi wa mabavu na unyanyasaji na ukikukwaji mkubwa wa haki za binadamu tuukatae na tuweke historia Tanzania tuitoe Ccm madarakani mana hii nchi sio yao kabisa tumewachoka miaka 59 hauna chamaana kilichofanyika watu bado maji ni shida nchi hii.

Wanatumia Police TISS Na Tume ya Uchaguzi kuchafua uchaguzi huu tuseme basi na tukatae kwa pamoja ili waeshimu maamuzi ya wananchi kumbuka sisi wananchi ndo mabosi na ndo walipakodi na ndo tunaowapa dhamana sasa wasijifanye uongozi kama wamepewa milele tukatae dhuluma na ukandamizaji wao. People power ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…