Hawa wanakamilisha ratiba hawapiti katika makao ya wilaya , wao wanacheza na mikoa tu , wajifunze kutoka upande wa pili...... Yaani wao wanapelekwa kwa hisia tu watachemka october pamekaribia
Mgombea wa CHADEMA ambaye anaingia sehemu kuomba kura tena anaingia kimya kimya na hana rasilimali fedha za kutosha na bado watu wanaenda kumsikiliza naamini sasa kuna kitu.
Kuna ujumbe wananchi wanautuma kwa viongozi ambao una maana kubwa sana na lazima viongozi wajifunze kupitia ujumbe huo ambao wananchi huutoa.