Ajitahidi amfikie ana mgwira

Lissu hataamini macho yake atakavyochakazwa
Anavyojigamba kwa bashasha utadhani kashatawazwa vile. Uchaguzi wa mwaka huu, utawashangaza wana saccos wote. Kijani tupu kuanzia udiwani mpaka Urais.
 
Lisu atavunja rekodi chadema kwa kuwa mgombea uraisi aliyepata kura chache kuliko mgombea uraisi yeyote wa Chadema toka Chadema ianzishwe

Nasikitika sana maana kuna mtu alibeba huu uchafu miezi 9
 
 
Kamanda!!!
Hao wote usomi wao hauoni ndani kwa Lisu.
Wala hawaijui MIGA kama Lisu
Na bahati yao wale maprofesa wa Barrick walimkuta Prof aliyeokotwa jalalani kwenye Negotiation table.
Wangemkuta "MSOMI" wetu Lisu Tanzania tungekuwa tunadaiwa mabilioni hadi leo.
 

Huku anatembeza bakuli, huku anatumia ruzuku vibaya. Akiopewa nchi je, si ndiyo atatumia Boeing kutemelea wilaya za Dodoma. Ufujaji unaonekana mapema. Hakuna anayepapatika na Chopper siku hizi. Hayo yalikuwa zamani.
 
While ccm and his dictator chairman invested heavily on killing chadema, in fact the part is in the hearts of all tanzanians....

Tanzania for Tundu Lissu 2020
The bussness went into huge losses.
 
Wakoloni hamuachi
 
Yeye aliachiwa miaka 5 anachokiona haamini now
 
Ukweli mtupu
 

..serikali ilisema tunawadai accacia usd 191 billion.

..baada ya mazungumzo serikali ikakubali tulipwe usd 300 million.

..kimahesabu, hiyo ni sawa na kudai umeibiwa usd 636, halafu ukubali kulipwa usd 1.

..sasa kwanini tulikubali kiasi kidogo hivyo kulinganisha na madai ya awali?

.. je, ripoti zilikuwa feki[professorial rubbish]? je, tuliogopa kushitakiwa[ miga ]? je, timu yetu ya negotiation ilikuwa mbovu[jalalani]?

..timu ya negotiation ya Prof.Kabudi, ilijumuisha pia wajumbe wa tume za uchunguzi zilizoundwa na raisi.
 
Una maanisha wasomi jalala wa CCM walipindua hoja ya "MSOMI" wetu mahiri Lisu kuhusu MIGA na kudaiwa mabilioni na kusababisha sie ndo tulipwe?
Haiwezekani kamanda.
Lisu wetu ni msomi saaana! - maprof jalala wa CCM hawawezi kuishinda hoja yake kudaiwa mabilioni.
 

Kama kweli ni mwenyekiti wako ungemheshimu kama mwenyekiti.....!
 
Hahaha uvcc a.k.a JESHI LA AKIBA wako kazini.

Walikuwa wanalala huko Lumumba Bashiru akawakurupusha,wajibu hoja sasa wao kila uzi waanandika Magufuli!.
 
Hivi Jamani ni nani aliyemuelewa huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…