Delete ccm Oct 28
 
🔥🔥🔥anazidi kuonekana kiazi kwa wapiga kura. Usicheze na Lissu.
 
Kata kitambulisho 20000/,=ujichingalize mwaka mzima bure,au uhangaishane na buku dala za mgamo wa jiji deile! Ni uamuzi wako siyo lazima .akili mkichwa.
Hivi unafahamu kuwa siyo wamachinga tu walioathiriwa na hii 20,000=/, bali pia hata wafanyakazi wa umma, bar maids, wafugaji, wakulima na hata wasiofanya shughuli yo yote ya kujiingizia kipato.
 
... kwa maelezo haya vitambulisho ni lazima tofauti na kauli ya kilaghai ya mzee baba.
Lissu kashamwingiza choo cha kike. Hata uwanja wa chato olikuwa hivi hivi. Baada ya kuona Wananchi wanakubaliana na Lissu kuwa uwanja ule hauna maana yoyote kwao.
 
Baada ya oktoba nitafute tukanywe supu
 
Utakuwa una matatizo ya usikivu wewe kuhusu sera za Chadema zinazowekwa hadharani na Lissu the GREATEST hadi KICHAA anaweweseka.

Hakuna Mapenzi yoyote zaidi ya Kutia huruma na Kulalamika kwenye Majukwaa badala ya Kumwaga sera na Kunadi Ilani ya Chama chake cha CDM.
 

Kushindana na mtu katika jambo fulani bila kujua uwezo wake na nguvu alizo nazo mpinzani wako ni tatizo kubwa.
 
Nyie chadema mnaelewaga kila baada ya miaka mitano.
 
Endelea kumlea hyo kifutu alienenepeana kama likoboko, ila jua mwamba akirudi tena safari hii ni zamu yako kulia.
Hahahah wala silii na sito lia maana mimi ni kijana mchapakazi na nafanya shughuli zangu kihalali ndio maana nasema tumuunge mkono raisi wetu mpendwa apate mitano mingine ili tupate maendeleo zaidi ya haya tunayo yaona, naomba kura yako mpe magufuli yeye anatufaa achana na hao wajanja janja wanaotaka kukutumia wewe kujinufaisha wao
 
Mkuu nchi lazima iendeshwe kwa kodi, na sisi raia ndiyo tuna jukumu kubwa la kulipa kodi ili nchi iendelee. Kitambulisho unalipa kodi kwa mwaka mzima na unafanya biashara popote pale huu ni uzalendo mkubwa sanaa kwa taifa. Nchi itajengwa na wananchi wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…