gaston11
Senior Member
- Feb 16, 2016
- 110
- 105
Hao ni marais wa ulaya this is africa johUnajua kiwa Marais wengi mahili wamesoma sheria?
Putin,Mandela Obama Jf Kennedy n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni marais wa ulaya this is africa johUnajua kiwa Marais wengi mahili wamesoma sheria?
Putin,Mandela Obama Jf Kennedy n.k
Sana mkuu yani CCM wahuni sanaKupitia vitambulisho vya jpm, wakuu wa mikoa na wilaya wamewanyanyasa sana machinga
Yani mbona uko wazi lissu anapigwa wala haiitaji degree kujua hiliKwa Jecha style sawa.
Delete ccm Oct 28Lissi Ni pasua kichwa kwa kweli,ukisikia watoto wa Mjini ndo Hawa.
Lissu anafanya kampeni kwa njia nyingi mno,na huwezi kujua utamkabili kwa njia ipi.
Njia aliyotumia hivi karibuni Ni moja ya njia watumiazo mawakili wakiwa mahakamani.
Kwanza anakupa mtego wa swali,hoja au maneno,ukijaa anakuweka Kati.
Sasa suala la vitambuliaho vya wamachinga kamtega Jiwe,jiwe kaingia mtegoni,kwa kujibu kuwa,
"vitambuliaho sio lazima."
Tayari Mzee Baba akawa kaingia mtegoni.
Lissu kampa kubwa na kumuingiza Kati,Mzee Baba.
Akamwambia,
"Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!
Jiwe chali.
Chato hiyooooo, Oct 30
Empty head a k.a. tabulalasa on fleek .Kama hoja za magufuli... Yaani likianza kuongea haijulikani linaelekea wapi... Yaani anakikanyaga na kujipaka paka Kiswahili utafikiri hana PhD...
🔥🔥🔥anazidi kuonekana kiazi kwa wapiga kura. Usicheze na Lissu.Lissi Ni pasua kichwa kwa kweli,ukisikia watoto wa Mjini ndo Hawa.
Lissu anafanya kampeni kwa njia nyingi mno,na huwezi kujua utamkabili kwa njia ipi.
Njia aliyotumia hivi karibuni Ni moja ya njia watumiazo mawakili wakiwa mahakamani.
Kwanza anakupa mtego wa swali,hoja au maneno,ukijaa anakuweka Kati.
Sasa suala la vitambuliaho vya wamachinga kamtega Jiwe,jiwe kaingia mtegoni,kwa kujibu kuwa,
"vitambuliaho sio lazima."
Tayari Mzee Baba akawa kaingia mtegoni.
Lissu kampa kubwa na kumuingiza Kati,Mzee Baba.
Akamwambia,
"Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!
Jiwe chali.
Chato hiyooooo, Oct 30
Wakafie mbeleDelete ccm Oct 28
Hivi unafahamu kuwa siyo wamachinga tu walioathiriwa na hii 20,000=/, bali pia hata wafanyakazi wa umma, bar maids, wafugaji, wakulima na hata wasiofanya shughuli yo yote ya kujiingizia kipato.Kata kitambulisho 20000/,=ujichingalize mwaka mzima bure,au uhangaishane na buku dala za mgamo wa jiji deile! Ni uamuzi wako siyo lazima .akili mkichwa.
Lissu kashamwingiza choo cha kike. Hata uwanja wa chato olikuwa hivi hivi. Baada ya kuona Wananchi wanakubaliana na Lissu kuwa uwanja ule hauna maana yoyote kwao.... kwa maelezo haya vitambulisho ni lazima tofauti na kauli ya kilaghai ya mzee baba.
Baada ya oktoba nitafute tukanywe supuLissi Ni pasua kichwa kwa kweli,ukisikia watoto wa Mjini ndo Hawa.
Lissu anafanya kampeni kwa njia nyingi mno,na huwezi kujua utamkabili kwa njia ipi.
Njia aliyotumia hivi karibuni Ni moja ya njia watumiazo mawakili wakiwa mahakamani.
Kwanza anakupa mtego wa swali,hoja au maneno,ukijaa anakuweka Kati.
Sasa suala la vitambuliaho vya wamachinga kamtega Jiwe,jiwe kaingia mtegoni,kwa kujibu kuwa,
"vitambuliaho sio lazima."
Tayari Mzee Baba akawa kaingia mtegoni.
Lissu kampa kubwa na kumuingiza Kati,Mzee Baba.
Akamwambia,
"Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!
Jiwe chali.
Chato hiyooooo, Oct 30
Hakuna Mapenzi yoyote zaidi ya Kutia huruma na Kulalamika kwenye Majukwaa badala ya Kumwaga sera na Kunadi Ilani ya Chama chake cha CDM.
Lissi Ni pasua kichwa kwa kweli,ukisikia watoto wa Mjini ndo Hawa.
Lissu anafanya kampeni kwa njia nyingi mno,na huwezi kujua utamkabili kwa njia ipi.
Njia aliyotumia hivi karibuni Ni moja ya njia watumiazo mawakili wakiwa mahakamani.
Kwanza anakupa mtego wa swali,hoja au maneno,ukijaa anakuweka Kati.
Sasa suala la vitambuliaho vya wamachinga kamtega Jiwe,jiwe kaingia mtegoni,kwa kujibu kuwa,
"vitambuliaho sio lazima."
Tayari Mzee Baba akawa kaingia mtegoni.
Lissu kampa kubwa na kumuingiza Kati,Mzee Baba.
Akamwambia,
"Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!
Jiwe chali.
Chato hiyooooo, Oct 30
Nyie chadema mnaelewaga kila baada ya miaka mitano.Lissi Ni pasua kichwa kwa kweli,ukisikia watoto wa Mjini ndo Hawa.
Lissu anafanya kampeni kwa njia nyingi mno,na huwezi kujua utamkabili kwa njia ipi.
Njia aliyotumia hivi karibuni Ni moja ya njia watumiazo mawakili wakiwa mahakamani.
Kwanza anakupa mtego wa swali,hoja au maneno,ukijaa anakuweka Kati.
Sasa suala la vitambuliaho vya wamachinga kamtega Jiwe,jiwe kaingia mtegoni,kwa kujibu kuwa,
"vitambuliaho sio lazima."
Tayari Mzee Baba akawa kaingia mtegoni.
Lissu kampa kubwa na kumuingiza Kati,Mzee Baba.
Akamwambia,
"Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!
Jiwe chali.
Chato hiyooooo, Oct 30
Majizi mbinu zao tumeshazibaini View attachment 1577476View attachment 1577477View attachment 1577479
Kwanini unasema hivyo mkuu? Utaratibu was kuhesabu na kutangaza matokeo umebadilika?Mwaka huu haibiwi kura mtu
Hahahah wala silii na sito lia maana mimi ni kijana mchapakazi na nafanya shughuli zangu kihalali ndio maana nasema tumuunge mkono raisi wetu mpendwa apate mitano mingine ili tupate maendeleo zaidi ya haya tunayo yaona, naomba kura yako mpe magufuli yeye anatufaa achana na hao wajanja janja wanaotaka kukutumia wewe kujinufaisha waoEndelea kumlea hyo kifutu alienenepeana kama likoboko, ila jua mwamba akirudi tena safari hii ni zamu yako kulia.
Mkuu nchi lazima iendeshwe kwa kodi, na sisi raia ndiyo tuna jukumu kubwa la kulipa kodi ili nchi iendelee. Kitambulisho unalipa kodi kwa mwaka mzima na unafanya biashara popote pale huu ni uzalendo mkubwa sanaa kwa taifa. Nchi itajengwa na wananchi wenyewe.Lissi Ni pasua kichwa kwa kweli,ukisikia watoto wa Mjini ndo Hawa.