CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word
Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaan huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anaye sikika midomoni mwa wapiga kura.
huko vijijini si ndio mtaji wenu ambao hawana elimu na ambao hawajui kuchambua mamboCHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word
Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaan huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anaye sikika midomoni mwa wapiga kura.
Endelea kuota !!!CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word
Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaan huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anaye sikika midomoni mwa wapiga kura.
Kuwa mpole. Mwaka huu tuachie hicho kibarua .TunakimuduCHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word
Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaan huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anaye sikika midomoni mwa wapiga kura.
Lissu atashinda lakini hatatangazwaDon Nalimison ambaye ni mwalimu , msanii, mwandishi , mtunzi, muongozaji wa filam , na mwanasiasa
Amesema kuwa Tundu Lissu atashinda uchaguzi asubuhi na mapema, aliyasema hayo nyumbani kwake leo asubuhi alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari , ameongeza kusema kuwa Lissu asipo shinda atahama Tanzania na kwenda kuishi marekani
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Zirudishwe pesa za Machinga kwanzaMitano tena.
MAGUFULI4LIFE.
Sema upo machokoroni weweCHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word
Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaan huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anaye sikika midomoni mwa wapiga kura.
Upo kijiji gani?CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word
Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaan huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anaye sikika midomoni mwa wapiga kura.
Kwenye demokrasi ya kweli unazingatia ubora wa sera, usafi wa wagombea, na kitachofuata ni maamuzi hayahusu chama. Kinyume chake unafikiri chama utabadilishaje ikiwa hujui kwamba wewe ndie mbadilishaji?CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word
Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaani huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anayesikika midomoni mwa wapiga kura.
Na dar wanavyomdharau pia ni vijijini?Polokwane.
Hivi unadhani ni kwanini vinijini?! Uelewa huko ni mdogo, ukizingatia hao jamaa within 5 yrs walikuwa na kibano cha kutokufanya siasa.
Pili huyo unayesema anakubalika kavihatamia vyombo vya habari. Ni yeye na chama chake tu ndiyo watatangazwe. Ufanyaji siasa Africa especially Tanganyika ni mgumu sana.
Hata hapo walipofanya kina Lissu na chama chake, wamejitahidi.