Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Mbinu ya zamani sana hii....tangu 1995 mnapiga porojo kama hii ili kujusfy uizi wa kura za upinzani.
Sijui kama this time around mtafanikiwa.
CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word

Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaan huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anaye sikika midomoni mwa wapiga kura.
 
huko vijijini si ndio mtaji wenu ambao hawana elimu na ambao hawajui kuchambua mambo
 
CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word

Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaan huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anaye sikika midomoni mwa wapiga kura.
Kuwa mpole. Mwaka huu tuachie hicho kibarua .Tunakimudu
 
vijijini ndo kuna wapiga kura wa kweli... mijini wengi wao ni wale waliovikimbia vijiji vyao wakidai kutafuta maisha na kuishia kuwa jobles na ndo hao wanaoishabikia chadema kwa kuona ccm haijawapa maisha waliyokuwa wanayaota

FANYENI KAZI VIJANA, HAKUNA MAISHA MAGUMU KAMA UNAJISHUGHULISHA

Hakuna chama ambacho kitakuja kukupa ulahisi wa maisha, maisha ni kupambana, hivo pambana sana kijana
 
Mimi nipo puma singida kijiji vha muhintili hakuna mwenye shida na Lisu watu wanasema Magu tu. Mara magu kawaletea umeme, Magu amemaliza korona n.k
 
Don Nalimison ambaye ni mwalimu , msanii, mwandishi , mtunzi, muongozaji wa filam , na mwanasiasa.

Amesema kuwa Tundu Lissu atashinda uchaguzi asubuhi na mapema, aliyasema hayo nyumbani kwake leo asubuhi alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari , ameongeza kusema kuwa Lissu asipo shinda atahama Tanzania na kwenda kuishi Marekani.
 
Don Nalimison ambaye ni mwalimu , msanii, mwandishi , mtunzi, muongozaji wa filam , na mwanasiasa
Amesema kuwa Tundu Lissu atashinda uchaguzi asubuhi na mapema, aliyasema hayo nyumbani kwake leo asubuhi alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari , ameongeza kusema kuwa Lissu asipo shinda atahama Tanzania na kwenda kuishi marekani

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Lissu atashinda lakini hatatangazwa
 
Haya mambo ya Mgombea kushinda na kutotangazwa na NEC ndo yanaleta laana Kwa Nchi yetu...na ndo maana Tanzania ina maprofesa wengi wajinga wajinga !!
 
Zile dawa, zile dawa mpatieni pamoja utabiri wake ni faraja kwangu maana Lisu ni Mtume aliyetumwa na Mungu, lkn Nalimison mpeni dawa
 
CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word

Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaan huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anaye sikika midomoni mwa wapiga kura.
Sema upo machokoroni wewe
 
Upo kijiji gani?
Umeongea na watu wangapi? Wenye umri gani,jinsia na elimu gani? Uliwauliza maswali gani? Lengo lako la kuuliza mini?
Una elimu gani? Ulishawahi kufanya research? Utafiti?
 
TWAWEZA "CCM INAPENDWA NA WATU WA VIJIJINI, MASIKINI, WENYE UELEWA MDOGO"
 
CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word

Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaani huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anayesikika midomoni mwa wapiga kura.
Kwenye demokrasi ya kweli unazingatia ubora wa sera, usafi wa wagombea, na kitachofuata ni maamuzi hayahusu chama. Kinyume chake unafikiri chama utabadilishaje ikiwa hujui kwamba wewe ndie mbadilishaji?
 
Kitu ambacho nimeshuhudia kwenye kampeni mwaka huu ni kitu ambacho nilikiona shuleni wakati nasoma. Ni hivi unapigana na aliyekuzidi nguvu anakupiga, unaenda kuwaita wenye nguvu ili wakukukamatie kupiga unafanikiwa.

Matatizo sasa unakuja kukutana na yule aliyekamatwa ukampiga na wewe uko mwnyewe. Utapokea kipigo atakachokushushia ni kama pigo analopewa baba mwenye nyumba aliyeyumba na Lissu!
 
Polokwane.

Hivi unadhani ni kwanini vinijini?! Uelewa huko ni mdogo, ukizingatia hao jamaa within 5 yrs walikuwa na kibano cha kutokufanya siasa.
Pili huyo unayesema anakubalika kavihatamia vyombo vya habari. Ni yeye na chama chake tu ndiyo watatangazwe. Ufanyaji siasa Africa especially Tanganyika ni mgumu sana.

Hata hapo walipofanya kina Lissu na chama chake, wamejitahidi.
Na dar wanavyomdharau pia ni vijijini?
 
Back
Top Bottom