IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
Mbinu ya zamani sana hii....tangu 1995 mnapiga porojo kama hii ili kujusfy uizi wa kura za upinzani.
Sijui kama this time around mtafanikiwa.
Sijui kama this time around mtafanikiwa.
CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word
Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaan huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anaye sikika midomoni mwa wapiga kura.