Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Kuwa mgombea Urais unahitaji kuwa na profile au CV inayoonesha uliwahi kufanya jambo muhimu kwa jamii unayoitarajia kuongoza iwapo ukipewa fursa.

Nikimuweka lissu kwenye "barometer" ya siasa na maendeleo ya Tanzania nakosa jambo lenye mashiko ambalo linaweza kutumika kama rejea kwamba aliwahi kuongoza jamii na kuiletea Maendeleo flani.

Ikumbukwe kuwa nafasi ya Urais sio nafasi ya kufanyia majaribio ...

Kama kuna jambo ambalo ni Iconic kwa maendeleo,uchumi na ustawi wa Taifa lililowahi kufanywa basi namchallange aliseme kwetu sisi wapiga kura.
Delete ccm Oct 28
 
Kura yangu kwa Lissu!
>Lissu hajawahi kununua kivuko kibovu kwa gharama kubwa kisha kukikabidhi kwa jeshi ili watu wasijadili!
>Lissu hajawahi kufanya manunuzi ya ndege bila kufuata masharti ya manunuzi ya umma kisha kuzuia CAG asikague manunuzi hayo!
>Lissu hajawahi kutoa nyumba za serikali kwa mahawara!
>Lissu hajihusishi na utekaji wala kuminya haki za watu kuishi!
>Lissu hajawasotesha watumishi kwa kuwanyima stahiki zao ambazo ziko kisheria!
>Lissu hana kiburi wala majivuno!
>Lissu hana "umobutu seseko"

Kwa sasa niishie hapo,kura yangu kwa mzalendo Lissu!
 
Kuwa mgombea Urais unahitaji kuwa na profile au CV inayoonesha uliwahi kufanya jambo muhimu kwa jamii unayoitarajia kuongoza iwapo ukipewa fursa.

Nikimuweka lissu kwenye "barometer" ya siasa na maendeleo ya Tanzania nakosa jambo lenye mashiko ambalo linaweza kutumika kama rejea kwamba aliwahi kuongoza jamii na kuiletea Maendeleo flani.

Ikumbukwe kuwa nafasi ya Urais sio nafasi ya kufanyia majaribio ...

Kama kuna jambo ambalo ni Iconic kwa maendeleo,uchumi na ustawi wa Taifa lililowahi kufanywa basi namchallange aliseme kwetu sisi wapiga kura.
Ujinga wako unaonekanaga pale unaposhindwa kutenganisha kati Marco, micro na messo/development! Unampima mama mtu aliyeshika dola raisi na individuals! Wewe ni mjinga wa mwisho. Kitendo cha Lisu kusoma hadi hapo alipofikia siyo maendeleo YAke?
Kitendo cha yye kuishi N familia YAke co maendleo?
Ulitaka kila mtu ajenge barabara?
Spore KOROSHO?
Anunue hedge akiwa chumbani?
Atukane watu hovyo?
Acha hizo bhana
 
Kuwa mgombea Urais unahitaji kuwa na profile au CV inayoonesha uliwahi kufanya jambo muhimu kwa jamii unayoitarajia kuongoza iwapo ukipewa fursa.

Nikimuweka lissu kwenye "barometer" ya siasa na maendeleo ya Tanzania nakosa jambo lenye mashiko ambalo linaweza kutumika kama rejea kwamba aliwahi kuongoza jamii na kuiletea Maendeleo flani.

Ikumbukwe kuwa nafasi ya Urais sio nafasi ya kufanyia majaribio ...

Kama kuna jambo ambalo ni Iconic kwa maendeleo,uchumi na ustawi wa Taifa lililowahi kufanywa basi namchallange aliseme kwetu sisi wapiga kura.
Wakulungwa yule magufuli anayeongea akiwa na mamlaka; kupiga mashangazi, kuua wasaliti, kuwanyima chakula wenye njaa, kubadili matumizi ya pesa za rambirambi...yule ndio magu halisi.

Huyu wa kwenye kampeni anatuektia tu.
Na akirudi huyu tutakoma mara saba.
 
We kweli jingalao......ajenge kwa kodi zipi anazokusanya ....serikali ndo inawajibu na inaapaswa kuhudumia majimbo yote na watanzania wote bila kujali jimbo la CCM au CDM
 
Kuwa mgombea Urais unahitaji kuwa na profile au CV inayoonesha uliwahi kufanya jambo muhimu kwa jamii unayoitarajia kuongoza iwapo ukipewa fursa.

Nikimuweka lissu kwenye "barometer" ya siasa na maendeleo ya Tanzania nakosa jambo lenye mashiko ambalo linaweza kutumika kama rejea kwamba aliwahi kuongoza jamii na kuiletea Maendeleo flani.

Ikumbukwe kuwa nafasi ya Urais sio nafasi ya kufanyia majaribio ...

Kama kuna jambo ambalo ni Iconic kwa maendeleo,uchumi na ustawi wa Taifa lililowahi kufanywa basi namchallange aliseme kwetu sisi wapiga kura.
Wakati wa kikwete kuna kauli maarufu ilikuwa ikisema Tanzania inapitia kipindi kigumu, lakini ukweli tulikuwa tunaelekea kipindi kigumu. Sasa tumo kweli kipindi kigumu haswaaaa.
 
Kuwa mgombea Urais unahitaji kuwa na profile au CV inayoonesha uliwahi kufanya jambo muhimu kwa jamii unayoitarajia kuongoza iwapo ukipewa fursa.

Nikimuweka lissu kwenye "barometer" ya siasa na maendeleo ya Tanzania nakosa jambo lenye mashiko ambalo linaweza kutumika kama rejea kwamba aliwahi kuongoza jamii na kuiletea Maendeleo flani.

Ikumbukwe kuwa nafasi ya Urais sio nafasi ya kufanyia majaribio ...

Kama kuna jambo ambalo ni Iconic kwa maendeleo,uchumi na ustawi wa Taifa lililowahi kufanywa basi namchallange aliseme kwetu sisi wapiga kura.
Noted
 
Katika picha anaonekana akiwa makini kumlinda Tundu Lissu na kumkinga kushikana na watu bila ulazima. Kama humjui Unaweza ukadhani ni mmoja ya walinzi wa mgombea.

Ni jambo muhimu sana kuhakikisha usalama wa wagombea wote 'muhimu' wa Urais kipindi hiki kwa sababu kinachangamoto nyingi ikiwemo kujulikana muda na mahala utakapokuwepo pamoja kukutana na watu wengi. Isije tokea wengine wakaona kampeni ngumu wakatumia njia nyingine kutafuta ushindi
2507804_IMG-20200904-WA0054.jpg
 
Huyo jamaa anapenda sana kujipendekeza kwa tundu kinafiki..ila namuelewa nyalandu
 
Mawaziri wa Serikali ya CCM wanaonea sana wafanyabiashara Lissu atamaliza huu ujinga unalazimisha mkopo wa piki piki ili iweje..? Imekua ni tabia ya viongozi wa ccm kufanya wafanya biashara vitega uchumi wao.
 
Back
Top Bottom