jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Na mwaka huu hiyo kiki haipatikaniAmemteka nani na wakati kutekwa kwenu yalikuwa ni maigizo yenu ilimpate kiki kwa mabeberu, wawape nguvu mharibu amani ya Tanzania??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mwaka huu hiyo kiki haipatikaniAmemteka nani na wakati kutekwa kwenu yalikuwa ni maigizo yenu ilimpate kiki kwa mabeberu, wawape nguvu mharibu amani ya Tanzania??
Kujadili ID ya member ni kosa kwa sheria za JFJinga lao ccm
Wapi, MIGA!Amezuia ufisadi mkubwa sana wa madini na mambo mengine makubwa na ndio huko alikopigwa risasi na mafisadi papa.
Delete ccm Oct 28Kuwa mgombea Urais unahitaji kuwa na profile au CV inayoonesha uliwahi kufanya jambo muhimu kwa jamii unayoitarajia kuongoza iwapo ukipewa fursa.
Nikimuweka lissu kwenye "barometer" ya siasa na maendeleo ya Tanzania nakosa jambo lenye mashiko ambalo linaweza kutumika kama rejea kwamba aliwahi kuongoza jamii na kuiletea Maendeleo flani.
Ikumbukwe kuwa nafasi ya Urais sio nafasi ya kufanyia majaribio ...
Kama kuna jambo ambalo ni Iconic kwa maendeleo,uchumi na ustawi wa Taifa lililowahi kufanywa basi namchallange aliseme kwetu sisi wapiga kura.
Azory Gwanda, Mo Dewji, Ben Saa8, n.k. John siyo mtu.Amemteka nani na wakati kutekwa kwenu yalikuwa ni maigizo yenu ilimpate kiki kwa mabeberu, wawape nguvu mharibu amani ya Tanzania??
MabadilikoooDelete ccm Oct 28
Ujinga wako unaonekanaga pale unaposhindwa kutenganisha kati Marco, micro na messo/development! Unampima mama mtu aliyeshika dola raisi na individuals! Wewe ni mjinga wa mwisho. Kitendo cha Lisu kusoma hadi hapo alipofikia siyo maendeleo YAke?Kuwa mgombea Urais unahitaji kuwa na profile au CV inayoonesha uliwahi kufanya jambo muhimu kwa jamii unayoitarajia kuongoza iwapo ukipewa fursa.
Nikimuweka lissu kwenye "barometer" ya siasa na maendeleo ya Tanzania nakosa jambo lenye mashiko ambalo linaweza kutumika kama rejea kwamba aliwahi kuongoza jamii na kuiletea Maendeleo flani.
Ikumbukwe kuwa nafasi ya Urais sio nafasi ya kufanyia majaribio ...
Kama kuna jambo ambalo ni Iconic kwa maendeleo,uchumi na ustawi wa Taifa lililowahi kufanywa basi namchallange aliseme kwetu sisi wapiga kura.
Wakulungwa yule magufuli anayeongea akiwa na mamlaka; kupiga mashangazi, kuua wasaliti, kuwanyima chakula wenye njaa, kubadili matumizi ya pesa za rambirambi...yule ndio magu halisi.Kuwa mgombea Urais unahitaji kuwa na profile au CV inayoonesha uliwahi kufanya jambo muhimu kwa jamii unayoitarajia kuongoza iwapo ukipewa fursa.
Nikimuweka lissu kwenye "barometer" ya siasa na maendeleo ya Tanzania nakosa jambo lenye mashiko ambalo linaweza kutumika kama rejea kwamba aliwahi kuongoza jamii na kuiletea Maendeleo flani.
Ikumbukwe kuwa nafasi ya Urais sio nafasi ya kufanyia majaribio ...
Kama kuna jambo ambalo ni Iconic kwa maendeleo,uchumi na ustawi wa Taifa lililowahi kufanywa basi namchallange aliseme kwetu sisi wapiga kura.
Wakati wa kikwete kuna kauli maarufu ilikuwa ikisema Tanzania inapitia kipindi kigumu, lakini ukweli tulikuwa tunaelekea kipindi kigumu. Sasa tumo kweli kipindi kigumu haswaaaa.Kuwa mgombea Urais unahitaji kuwa na profile au CV inayoonesha uliwahi kufanya jambo muhimu kwa jamii unayoitarajia kuongoza iwapo ukipewa fursa.
Nikimuweka lissu kwenye "barometer" ya siasa na maendeleo ya Tanzania nakosa jambo lenye mashiko ambalo linaweza kutumika kama rejea kwamba aliwahi kuongoza jamii na kuiletea Maendeleo flani.
Ikumbukwe kuwa nafasi ya Urais sio nafasi ya kufanyia majaribio ...
Kama kuna jambo ambalo ni Iconic kwa maendeleo,uchumi na ustawi wa Taifa lililowahi kufanywa basi namchallange aliseme kwetu sisi wapiga kura.
NotedKuwa mgombea Urais unahitaji kuwa na profile au CV inayoonesha uliwahi kufanya jambo muhimu kwa jamii unayoitarajia kuongoza iwapo ukipewa fursa.
Nikimuweka lissu kwenye "barometer" ya siasa na maendeleo ya Tanzania nakosa jambo lenye mashiko ambalo linaweza kutumika kama rejea kwamba aliwahi kuongoza jamii na kuiletea Maendeleo flani.
Ikumbukwe kuwa nafasi ya Urais sio nafasi ya kufanyia majaribio ...
Kama kuna jambo ambalo ni Iconic kwa maendeleo,uchumi na ustawi wa Taifa lililowahi kufanywa basi namchallange aliseme kwetu sisi wapiga kura.
Duh"Afisa kificho". Ipo siku Mtayakumbuka hayo maneno mawili.
Unamuelewa vipi MkuuHuyo jamaa anapenda sana kujipendekeza kwa tundu kinafiki..ila namuelewa nyalandu