Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mku ameegemea kwa raia ndo maana mwanzo kabisa aliiambia NEC uchaguzi uwe huru na haki pasipo haki hatakubali matokeo kutokukubali matokeo ni mbaya kwetu ccm kumbuka huyu mtu anawafuasi kila pande za nchi na duniani pia. Chochote atakachofanyiwa huyu Mtu sio afya kwa Nchi na viongozi wetu pia. Ukijaribu kufuatilia maongezi ya mwanasheria wake kwa wale walioandikiwa barua na huyu mwanasheria ndo utajua nini kinachoendelea.Huyu backup yake Ni kubwa sana na Ilani ya chama chake inambeba MkuHuko alikoegemea siko zinakotoka kura mkuu. Swala la kushinda au kushindwa tuachie wajumbe
Ameen amen!!Mungu mbariki na mlinde mtoto wako Tundu Antiphas Lissu!! Mshindie uchaguzi wa mwaka huu 2020 kwa Jina lako Yesu Kristo. Na mfanye awe Raisi wetu 2020-2025 kwa Jina lako Yesu Kristo!
Isome tena hyo heading halafu uone kama umeelewekaNimecheka Lisu msikivu kwa Jamii forums humu walisema hana watu wa kumsindikiza akimaliza mkutano anao tu bodaboda nk wa kumwingiza mkutananoni wanaomsindikiza Kuingia mkutanoni halafu wanamwacha akitoka anatoka mwenyewe likamuuma sasa kutafuta wa kumsindikiza Hadi hotelini alikofikia at a fee of course ili video itoke ya mheshimiwa mpendwa Kim Jong Un Lisu kuwa ana watu wampendao Sana anayesindikizwa na watu Hadi hotel alikofikia!!!
Watu humu wakasema ,hana washangiliaji kwenye mikutano yake kawatafuta at a fee of course wa kuimba Raisi Raisi Raisi mheshimiwa Kim Jong Un Lisu
Jamiii forums hoyee
Acha uboya nlikuwepo eneo la tukio ni vile wapinzani hawapewi coverage.Wanaoimba Raisi Ni boys .Lisu boys kawakusanya vijiweni at a fee of course waimbe hiyo chorus
Kweli historia kiboko na kwa mbali naikumbuka ile tarehe 21 mwezi wa Desemba mwaka 1989, je ilikuwaje?...
Kulikuwa na nchi inaitwa Romania. Nchi hiyo ilikuwa ni rafiki mkubwa wa nchi yetu, Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Nchi hiyo rafiki ilitawaliwa na kiongozi ambaye aliogopwa na alipoongea maneno yaliyomtoka mdomoni yalikuwa kama sheria.
Kiongozi huyo, Nicolae Ceaușescu, ilidaiwa alipendwa na wananchi wake na kujaribu kumkosoa kulikuwa ni kama kujitia kitanzi.
Kulikuwepo na kakundi ka watu wasiojulikana ambao wakipata taarifa au wakikusikia unamkosoa kiongozi wao hukuonekana tena.
Siku ya siku ikafika, tarehe 21/12/1989 akiwahutubia wananchi waliokuwa wakishangilia kwa vifijo na nderemo mara mguno ukasikika...
Uwanja ukawa kimya kama vile washangiliaji wamemwagiwa maji baridi lakini zomea zomea ikawa inasikika ingawa kwa kufifia fifia.
Rais Nicolae Ceaușescu hakuamini mara moja kinachojiri na baada ya ukimya wa muda mfupi akaamua kuendelea na hotuba yake.
Alipoanza tena tu na zomea kurudi kwa kishindo, akapigwa butwaa na uso kuonesha mfadhaiko halafu hasira na kufuatiwa na woga.
TV ya taifa ikazimwa...
Je historia kama hii inaweza kujirudia Tanzania?
Size hii nadhani inakutosha,nimekuchukulia robota zima.Kwamba wafuasi wa chadema wakiimba hivyo ni ajabu sana?
Hivi kumbe hii jf wengi wameanza kufuatilia siasa baada ya ujio wa Lisu ee?
Waliimba hivyo kwa Mbowe, Dr. Slaa, na kwa lowasa. Kuimba mtaimbiwa Sana, ila hapo hao waimbao ndio watampa kura nyingi Magufuli. Tanzania Hoyee.
😂😂😂😂😂😂The shit is real