Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Wamwandikie kwanza jiwe anayevuruga rariba za kampenzi za uchaguzi kila siku.

Upumbavu Sasa basi!

Kambi yake hasa ( Campaign Team yake ) na Chama chake cha 'CHADEMA' walisema hawakupewa 'Barua' kumbe ilishapelekwa 'Kitambo' sana tu.
 
Tume ya Uchaguzi Tanzania (NEC) imetoa taarifa rasmi inayothibitisha kumuandikia barua ya kumuita kwenye kikao cha kamati ya maadili, mgombea wa urais kupitia @chadematzofficial, Tundu Lissu kwa ajili ya kujibu tuhuma mbalimbali alizozitoa katika mikutano yake, dhidi ya NEC na mgombe urais kupitia @ccmtanzania Dkt John Magufuli.

Nipashe ( 50 minutes ago )

Tundu Lissu kama 'itakupendeza' hebu fanya 'Uchunguzi' wako hasa kwa hao 'Wanaokuzunguka' kwani yawezekana wapo wanaotaka Kukuharibia.
Tangu uanze kuandika hapa JF kipato chako kimeongezeka

Au unatuna mashavu tu na kuvimbisha tumbo wakati mfukoni choka mbaya

Unapoteza muda wako bure,Hakuna anayekutambua kwenye chama

Endelea kujifurahisha badala ya kutafuta pesa
 
Tume ya Uchaguzi Tanzania (NEC) imetoa taarifa rasmi inayothibitisha kumuandikia barua ya kumuita kwenye kikao cha kamati ya maadili, mgombea wa urais kupitia @chadematzofficial, Tundu Lissu kwa ajili ya kujibu tuhuma mbalimbali alizozitoa katika mikutano yake, dhidi ya NEC na mgombe urais kupitia @ccmtanzania Dkt John Magufuli.

Nipashe ( 50 minutes ago )

Tundu Lissu kama 'itakupendeza' hebu fanya 'Uchunguzi' wako hasa kwa hao 'Wanaokuzunguka' kwani yawezekana wapo wanaotaka Kukuharibia.

..Tume ina upendeleo wa waziwazi.

..Na Katibu wa Tume ni mshabiki wa CCM.

..Binafsi sikutarajia Tundu Lissu amalize kampeni hizi bila kufanyiwa figisu la Tume.

..Subiri wakati wa kuidhinisha MAWAKALA wa wagombea ndipo utaijua Tume jinsi ilivyo ya hovyo.
 
Hao Tume wame panic, hiyo taarifa wameipeleka jana kwa bodaboda, hizo story zao za kupeleka barua siku nyingi ni uongo mtupu.

Wamegombezwa juzi na bosi wao baada ya kikao chao ndio wakatoa taarifa mtandaoni bila kuandika barua, mpaka Lissu alivyosema hafanyii kazi taarifa za mtandaoni ndio wakakurupuka kuandika barua, hawana credibility yoyote.

Bahati nzuri Lissu hatishiki, yuko zake huko kitaa anawaburuza tu huku anatabasamu kama kawa...
 
Tume ya Uchaguzi Tanzania (NEC) imetoa taarifa rasmi inayothibitisha kumuandikia barua ya kumuita kwenye kikao cha kamati ya maadili, mgombea wa urais kupitia @chadematzofficial, Tundu Lissu kwa ajili ya kujibu tuhuma mbalimbali alizozitoa katika mikutano yake, dhidi ya NEC na mgombe urais kupitia @ccmtanzania Dkt John Magufuli.

Nipashe ( 50 minutes ago )

Tundu Lissu kama 'itakupendeza' hebu fanya 'Uchunguzi' wako hasa kwa hao 'Wanaokuzunguka' kwani yawezekana wapo wanaotaka Kukuharibia.
Maneno matupu sio ushahidi waoneshe ushahidi wa dispatch na barua kugongwa muhuri wa received wa Chadema na sahihi na Majina ya ofisa aliyepokea hiyo barua
 
Hizo ni njama za kumvurugia ratiba yake ya kampeni na wala si vinginevyo! Mwaka huu mtaukubali tu mziki wa T. Lissu.# NI YEYE 2020
Hawamjui Lissu hawa. Wanadhani Jiwe aliamua kumpiga risasi hivi hivi tu!! Lissu sio wa Sayari hii!! Huyu ni mwanasiasa na nusu!! Habari yake wataipata tu😂😂
 
Tume ya Uchaguzi Tanzania (NEC) imetoa taarifa rasmi inayothibitisha kumuandikia barua ya kumuita kwenye kikao cha kamati ya maadili, mgombea wa urais kupitia @chadematzofficial, Tundu Lissu kwa ajili ya kujibu tuhuma mbalimbali alizozitoa katika mikutano yake, dhidi ya NEC na mgombe urais kupitia @ccmtanzania Dkt John Magufuli.

Nipashe ( 50 minutes ago )

Tundu Lissu kama 'itakupendeza' hebu fanya 'Uchunguzi' wako hasa kwa hao 'Wanaokuzunguka' kwani yawezekana wapo wanaotaka Kukuharibia.
Huu ni Upumbavu Kama upumbavu mwingine kutoka kwa gazeti la chama na kada mwingine! Unastahili kutupwa chooni kama pampasi iliyotumika.!

Mmeminywa kende mnaanza kurukaruka na NEC.
 
Tume ya Uchaguzi Tanzania (NEC) imetoa taarifa rasmi inayothibitisha kumuandikia barua ya kumuita kwenye kikao cha kamati ya maadili, mgombea wa urais kupitia @chadematzofficial, Tundu Lissu kwa ajili ya kujibu tuhuma mbalimbali alizozitoa katika mikutano yake, dhidi ya NEC na mgombe urais kupitia @ccmtanzania Dkt John Magufuli.

Nipashe ( 50 minutes ago )

Tundu Lissu kama 'itakupendeza' hebu fanya 'Uchunguzi' wako hasa kwa hao 'Wanaokuzunguka' kwani yawezekana wapo wanaotaka Kukuharibia.

Mkuu umezisoma kanuni za kamati ya maadili njia sahihi ya kumuita mgombea umejiridhisha ni sahihi?
 
hawapo makini.
Naona tumaini lenu limebaki kwa NEC, Ni Kama mnamsikilizia mgonjwa anyetaka kukata roho kwa kukosa damu.

Na NEC ndio mtu wa mwisho kuongeza hiyo damu chafu kwenye mwili wa mfu anayetembe (CCM & Magufuli)
 
Maneno matupu sio ushahidi waoneshe ushahidi wa dispatch na barua kugongwa muhuri wa received wa Chadema na sahihi na Majina ya ofisa aliyepokea hiyo barua
Barua inatakiwa ipelekwe kwa Tundu Lissu binafsi na sio kwa iofisi za chama. Mwaka huu Tundu Lissu atawafundisha hadi mumsalimie Shikamoo!
 
Back
Top Bottom