MOSintel Inc
JF-Expert Member
- Mar 24, 2016
- 817
- 593
Leo nakuona una tumbo la kuchafua choo.Sasa uzinduzi wa kanda aliufanyia mwanza mjini hapo hapo lilipo jimbo LA Nyamagana na Leo anarudi exactly hapo hapo hiyo kiboko ha ha ha
Aibu aliyoipata Majaliwa jumapili ilopita Musoma nilimuonea huruma jamani...jamani Musoma sio Tanzania..nasema Musoma haiko Tz sijui mikoa mwingine inafeli wapi...jamani Musoma hata Bibi wa miaka 90 ni chadema...uwiii Musoma Wana hasiraaaa🙌🙌🙌! Walichomfanyia Majaliwa niliibgiwa huruma jamanAna pita kufagia alimo pita Majaliwa jana
Hahahaaa.... Jamaa jinga sn. Kichaa kapewa runguVp leo mgombea wako hajasifia wanawake weupe weupe kwenye kampeni zake, hyu dada mweupeeeee, dada mweupe oyeeeeee.
Kila chama kina viongozi ngazi ya jimbo,wilaya na mkoa mpaka taifa.Bhebe. Ni hivi , huwezi kumpangia mpinzani wako namna ya kuendesha siasa za kukutoa madarakani . Ngazi ya Jimbo kila mbunge hasa wa Jimbo Cdm ana kesi za kubambikiza za uchochezi.
Na si Jimbo tu !!. Hata vikao vya ndani walikuwa wanakamatwa . U communist hautufikishi kokote
Ngalu , kumtetea jamaa yako inabidi ujitoe ufahamu. Hiki alichokifanya Maghufuli hakipo duniani pote labda kwa Kagame. Niambie ni mbunge yupi wa Cdm wa Jimbo aliyemaliza bila kesi za uchochezi ?!. Na je majimbo ambayo hawakuwa na wabunge wala madiwani wangeendeshaJe hayo mafunzo ?!. Huu ulikuwa typical u dictator .Kila chama kina viongozi ngazi ya jimbo,wilaya na mkoa mpaka taifa.
Walipaswa kuendesha elimu na mikutano kwenye majimbo. Sio lazima wawe wabunge. Kukamatwa labda walienda kinyume na kibali.
Kwani kufanya mikutano ya kisiasa mpaka muwe na wabunge na madiwani? Viongozi wa chama kwenye majimbo ndio walitakiwa wafaanye mikutano.Ngalu , kumtetea jamaa yako inabidi ujitoe ufahamu. Hiki alichokifanya Maghufuli hakipo duniani pote labda kwa Kagame. Niambie ni mbunge yupi wa Cdm wa Jimbo aliyemaliza bila kesi za uchochezi ?!. Na je majimbo ambayo hawakuwa na wabunge wala madiwani wangeendeshaJe hayo mafunzo ?!. Huu ulikuwa typical u dictator .
Leo Tundu Lissu anaenda kumnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Nyamagana, Kesho anaingia Mara kuwanadi wagombea ubunge, baada ya hapo ni Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Daresalaam,Lindi,Mtwara,RuvumaToka aende Mwanza kapokelewa na Umati anaoana ndo pa kupatia kura hapo anajidanganya sana! Cdm kushinda kanda ya Ziwa ni ndoto! Hivi hamjifunzi tu toka 2015!.
Hujui unalolitetea , siasa zilipigwa marufuku wangeendeshaje hayo unayoyasema ?!. Yeye aliruhusu kinafki mbunge au diwani kwenye eneo lake. Ambako nako kila walipojaribu hata kukagua miradi waliishia vyesi. Kwa ujumla huyu hakutakiwa kuongoza wenye akili bali ng'ombeKwani kufanya mikutano ya kisiasa mpaka muwe na wabunge na madiwani? Viongozi wa chama kwenye majimbo ndio walitakiwa wafaanye mikutano.
Wangari Maathai hao wathu wa Musoma warimfanyache waziri mkubwa jaman? Tuadithie kidogo nasie tumuonee japo kijihuruma.Aibu aliyoipata Majaliwa jumapili ilopita Musoma nilimuonea huruma jamani...jamani Musoma sio Tanzania..nasema Musoma haiko Tz sijui mikoa mwingine inafeli wapi...jamani Musoma hata Bibi wa miaka 90 ni chadema...uwiii Musoma Wana hasiraaaa[emoji119][emoji119][emoji119]! Walichomfanyia Majaliwa niliibgiwa huruma jaman
Alirudi for the 2nd tym jumapili kuweka upepo sawa .bas matangazo kala yote ..na jumapili hiyo hiuo chadema wakawa wanakampeni zao hapo hapo Musoma mjini ..kifupi Majaliwa amefunga saa10 hakuna mtu! Nyomi lilolokuwepo chadema sasa .mitaa yote ilitema...imagine mtu unakosa kbs watu ..alitia huruma .wakamwambia hii ndo Musoma Bora ungebeba tu mkeo uje uspend naye huku kuliko utopolo wako huko ..alafu watu wanahasira utadhani Kuna mauaji yalitokea😀😀!Wangari Maathai hao wathu wa Musoma warimfanyache waziri mkubwa jaman? Tuadithie kidogo nasie tumuonee japo kijihuruma.
Hungumalwa kwimba tunamsubiri kwa hamu kubwa mno
Bora yeye kuna vyama viwili vina doji compaignRepetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!
Chadema kulikoni?
CCM mwaka huu wanahasara! Kigoma Magu alienda mbegu kama haijaota akafukua Lissu, Kagera, Geita hivyo hivyoAna pita kufagia alimo pita Majaliwa jana
Wabunge wanalia dj kapiga pesa zao.Zirudishwe pesa za Machinga kwanza
lakini kwa nini sheria hizi zianze 2015 baada ya kunusurika, katiba yetu inakataza kutunga sheria za kibaguzi, lakini miaka hii mitano nchi hii imeongoza kwa kutunga sheria za kukibeba chama cha CCM.Kila chama kina viongozi ngazi ya jimbo,wilaya na mkoa mpaka taifa.
Walipaswa kuendesha elimu na mikutano kwenye majimbo. Sio lazima wawe wabunge. Kukamatwa labda walienda kinyume na kibali.
... na pia Mwanza pana infrastructure mahususi kumwezesha kuongea na dunia jioni ya leo kupitia mdahalo utakaowajumuisha magwiji wa issues za kidunia akiwemo Rais wa Jamhuri ya Ghana, HE Akufo Nana-Addo. Mdahalo huu utakuwa kwa lugha ya Kiingereza na utahusu masuala mtambuka. Tukae mkao wa kula kumsikiliza kipenzi cha watanzania ataiambia nini dunia.Yuko njiani anaenda Mara, hapo Mza he is just in transit, so please take care.
Ukosefu wa akili ni mapungufu kama kile kilema mwilini. Yaani hata we we YEHODAYA hujui kuwa ratiba inapangwa na NEC?Repetition tayari kaishiwa juzi tu hapa Lissu alikuwa hapo hapo Mwanza mjiini viwanja vya furahisha naona na Leo karudi wastage of money sehemu moja kurudi Mara mbili wakati kuna sehemu hajagusa kabisa!!
Chadema kulikoni?
Hakika.Leo nakuona una tumbo la kuchafua choo.
Hehehe...huyo ndiye Lissu.
Si mtu wa kawaida. Hata CCM wengi wenye utu watampigia kura.