Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan kisheria inaruhusiwa kuweka picha ya namna hiyo hapo chini kwenye fomu ya uteuzi wa Rais kana passport size?Hata mwaka hauko sawa wameandika mwaka 20 huu sio mwaka wa 20 Ni mwaka wa 2020 kisheria Ni makosa aliyeandika hi taarifa Hana akili Ni bwege
Safi sana hiyo ni haki yao Kikatiba na nadhani watazitu. mia hizo siku vizuri kwani TANZANIANS LIVES MATTER (TLM). Viongozi wa CHADEMA wajaribu "kumfunga breki mdomo" Lissu ili asiseme hovyo hovyo na kuwarubuni wajinga wachache na kutuingiza kwenye janga la Tunduma.Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na Chamwino kwa siku tatu mfululizo katika Jiji la DSM.
Viongozi wakuu wa chama hicho watashiriki uzinduzi huo wa kampeni wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe Katibu Mkuu John Mnyika na Wajumbe wote wa Kamati Kuu.
Taarifa kutoka ndani ya Chadema zinasema siku ya kwanza ya Uzinduzi itakuwa Ijumaa tarehe 28/8/20 katika viwanja vya Mbagala Zakiem; Siku ya Pili ya Uzinduzi itakuwa Jumamosi tarehe 29/8/20 katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe na siku ya Tatu ya Uzinduzi itakuwa Jumapili tarehe 30/8/20 katika viwanja vya Tabata Segerea.
Karibia wote tumeelewa isipokuwa wewe, ok huu wako 2020 ni baada ya yesu au kabla?Hata mwaka hauko sawa wameandika mwaka 20 huu sio mwaka wa 20 Ni mwaka wa 2020 kisheria Ni makosa aliyeandika hi taarifa Hana akili Ni bwege
😂😂🤣🤭🤭na Chamwino
Shamra Shamra zitaanza mapema Ila viongozi kuhutubia mpaka baada ya Saa 8Tuacheni tukaswali ijumaa kwanza ,anzeni Saa 7:30 mchana au saa 8
Wakaazi wa Mbagala wengi waislamu.
Naomba wapangaji ratiba wazingatie hilo.
Tuko pamoja ,tusije tukaaminishwa na wabaya wa Upinzania kuwa Chadema Haijali Dini ya Waislau.
Dar itasimama kesho
Hakika !Dar itasimama kesho
Alichokuwa anakifanya yye kuwatukana watu hakuna kwamba haukuwa ustaarabu?.unakumbuka ya tetemeko la Bukoba?Kwanini unadhani nimesahahu mkuu???
Hayo yaña uhusiano gani na kufanya kampeni za kistaarabu???
Ha Haaa haaaaAlichokuwa anakifanya yye kuwatukana watu hakuna kwamba haukuwa ustaarabu?.unakumbuka ya tetemeko la Bukoba?
Ccm wakianzisha chokochoko za aina yoyote tutazijibu kwa nguvu ile ile iliyotumika kuzianzisha.Tufanyeni kampeni za kistaarabu
Well calculated move.👏👏Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na Chamwino kwa siku tatu mfululizo katika Jiji la DSM.
Viongozi wakuu wa chama hicho watashiriki uzinduzi huo wa kampeni wakiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe Katibu Mkuu John Mnyika na Wajumbe wote wa Kamati Kuu.
Taarifa kutoka ndani ya Chadema zinasema siku ya kwanza ya Uzinduzi itakuwa Ijumaa tarehe 28/8/20 katika viwanja vya Mbagala Zakiem; Siku ya Pili ya Uzinduzi itakuwa Jumamosi tarehe 29/8/20 katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe na siku ya Tatu ya Uzinduzi itakuwa Jumapili tarehe 30/8/20 katika viwanja vya Tabata Segerea.
Tayari viongozi wa Kanda ya Pwani pamoja na mikoa ya kichama ya Ilala, Kinondoni na Temeke umeshaanza maandalizi makubwa ambapo inatarajiwa mikutano hiyo kuwa na umati mkubwa wa watu huku ikiongozwa kwa maandamano makubwa kabla na baada ya mikutano.
Itakuwa ni Mara ya kwanza kwa chama Cha siasa kuzindua kampeni kwa siku 3 mfululizo katika Jiji la Dar.
-----------------------------------------
*Chadema kuzindua kampeni Kikanda*
Imetolewa na Idara ya Uenezi Makao Makuu
Kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Chadema, naomba kukutaarifu na kukualika rasmi (wewe na chombo chako cha habari) kwenye Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020, utakaofanyika siku ya Ijumaa, Agosti 28, 2020, katika Uwanja wa Zakhiem Mbagala, jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
Ratiba ya mikutano ya uzinduzi itakuwa ifuatavyo;
i. Agosti 29, 2020, Uwanja wa Tanganyika Parkers, jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
ii. Agosti 30, 2020, Uwanja wa Tabata S/M, Segerea, jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
iii. Agosti 31, 2020, Uwanja wa Relini, jijini Arusha, kuanzia saa 400 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
iv. Sepetemba 1, 2020, Uwanja wa Furahisha, Kitangili, jijini Mwanza, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
v. Septemba 2, 2020, Uwanja wa Lubaga joshoni, Manispaa ya Shinyanga, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
vi. Septemba 3, 2020, Uwanja wa Chipukizi, Tabora mjini, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
vii. Septemba 4, 2020, Uwanja wa Uhuru, jijini Dodoma, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
viii. Septemba 5, 2020, Uwanja wa Rwandanzovwe, jijini Mbeya, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
ix. Septemba 6, 2020, Uwanja wa Sabasaba, mjini Mtwara, kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 12.00 jioni.
x. Septemba 7, 2020, Uwanja wa Gombani, Chakechake, Pemba, kuanzia saa 2.00 asubuhi hadi saa 6.00 mchana. Uwanja wa Maisara, Unguja, kuanzia saa 8.00 mchana hadi saa 12.00 jioni.
Tunatanguliza shukrani zetu, tukikuahidi ushirikiano na kutarajia hivyo kutoka kwako na chombo chako kwa ujumla katika kuimarisha demokrasia nchini kwetu ikiwa nguzo muhimu ya maendeleo ya Watanzania wote.
Pamoja na salaam za Chama.
Wako katika ujenzi wa Taifa letu,
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
Hahahaha nimejikuta nacheka tu.Ila we jamaa, huwa una tatizo la mihemko ya kisiasa [emoji848]
Mkuu mimi nimezungumzia kiujumla.Alichokuwa anakifanya yye kuwatukana watu hakuna kwamba haukuwa ustaarabu?.unakumbuka ya tetemeko la Bukoba?
Na ndio maana nikawaambia wote wakiwemo hao CCM kwamba tufanyeni kampeni za kistaarabu.Ccm wakianzisha chokochoko za aina yoyote tutazijibu kwa nguvu ile ile iliyotumika kuzianzisha.
Wakimuua Akwilina mmoja wa chadema, na wao wajiandae kumpoteza Akwilina wao mmoja.
Chadema siku zote inafanya kampeni za kistaarabuMkuu mimi nimezungumzia kiujumla.
Ni nasaha zangu kwa kila mtu awe CCM awe CHADEMA TLP au ACT