Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Lijuakali.... jinsi tulivyoiba kura[emoji3][emoji3]
Kama uchaguzi ungekuwa huru wabunge na madiwani wa upinzani wangetolewa na wakurungeni na watendaji kata katika kinyang’anyilo cha kushika hatam, hakuna uchaguzi huru ndugu yangu kuna maelekezo tu kwenye tume ya uchaguzi ya sasa hivi ndio haiko huru kabisa tofauti na tume zilizopita
 
Lissu mwenyewe juzi alikiri kuwa ni vigumu sana kuishinda CCM sasa wewe ni nani na una nini hadi uweze kutoa comment kama hii.

Lissu alisema hivi, katiba haiko upande wetu, jeshi haliko upande wetu, usalama wa taifa na polisi hawako upande wetu, mifumo yote ya nchi haiko upande wetu hata NEC haipo upande wetu, akahoji, sasa hapo unawezaje kushinda? Lakini alisahau kuwa hata viongozi wa dini zote hawako upande wenu.

Haki ya nani sioni sababu ya Magufuli mzee huyu kuangaika na kampeni. Alipashwa alale afu siku ya mwisho aende kwenye tv na radio aombe kura kwa dakika 5 tu.
Lakini ALLAH yupo upande wao na yeye ndiye Alfa na Omega
 
Inaonekana hamkujipanga kabisa miaka mitano ya kampeni na kuwanyanyasa wapinzani lakini bado hamjiamini, hadi mnaenda mapumziko pumzi imekata, mlijua mtateleza tu sasa Lisu anasema ushindi upatikane kwenye sanduku la kura
Tunakazi zingine za kufanya leo tunampokea Rais Museveni wa Uganda kazi za kirais lazima ziendelee unafikiri sisi ni kula kulala!!
 
Ajitahidi amfikie ana mgwira

Lissu hataamini macho yake atakavyochakazwa
Hata laki sita nimeita roughly maximum lakini sehmu zingine zenye wapiga kura wengi kama Dar es laam mahudhurio mikutano yake ilikuwa asilimia tano ya ya Lowasa hivyo hiyo maximum ya kura Laki sita sio rahisi kwake kufikisha
 
Wakati wa Lowassa kulikuwa na UKAWA sasahivi ipo Chadema lakini upepo ukibadilika na vyama kuungana. Chief Mataga ataongeza likizo ya kampeni mwenyewe awashukuru wasanii sana kwa kumjazia uwanja.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Si kawaida yako unaonekana umepanic sana.
Hiyo ni Hesabu rahisi tu hata mtoto wa shule ya msingi wapiga kama umati wa Lowasa ulizalisha kura milioni sita

Umati wa Lisu ambao ni asilimia kuna ya wa Lowasa utazalisha kura kiasi gani jibu ni laki sita maximum
 
Hata laki sita nimeita roughly maximum lakini semeni zingine zenye wapiga kura wengi kama Dar es laam mahudhurio mikutano yake ilikuwa asilimia tano ya ya Lowasa hivyo hiyo maximum ya kura Laki sita sio rahisi kwake kufikisha
Unajua Chadema ina wanachama wangapi? Unajua wangapi wapo neutral na hawataki kumsikia Magufuli? Unajua wanaccm wangapi ambao hawana hamu hata ya kusikia sauti ya magufuli? Subiri upepo uvume vizuri
 
Ajitahidi amfikie ana mgwira

Lissu hataamini macho yake atakavyochakazwa
Subirini Magu ashughulikiwe na wajumbe. Tuna hasira nae hata amini sanduku la kura litakavyo muaibisha.
2015 ana sema Arusha, Kilimanjaro, Mbeya, na Dar walimnyima kura. Mwaka huu hata kule aliko kulia baada ya kutoka Burundi hapati kura.
 
Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
Naona Mataga mmeshikwa pabaya mnaanza kutoa takwimu za Kura za Lissu.
 
October tunamshughulikia lissu msaliti wa Nchi
Rais Magufuli ushindi ni 97%
Lisu atavunja rekodi chadema kwa kuwa mgombea uraisi aliyepata kura chache kuliko mgombea uraisi yeyote wa Chadema toka Chadema ianzishwe
 
Back
Top Bottom