Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Waluguru wana akili sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waluguru wana akili sana.
Kama uchaguzi ungekuwa huru wabunge na madiwani wa upinzani wangetolewa na wakurungeni na watendaji kata katika kinyang’anyilo cha kushika hatam, hakuna uchaguzi huru ndugu yangu kuna maelekezo tu kwenye tume ya uchaguzi ya sasa hivi ndio haiko huru kabisa tofauti na tume zilizopita
Wewe ni wa kupuuzwa na waliokutuma,ni WANANCHI gani wa Morogoro unaowaaemea,na sisi wakazi wa Morogoro tusemaje?
Lakini ALLAH yupo upande wao na yeye ndiye Alfa na OmegaLissu mwenyewe juzi alikiri kuwa ni vigumu sana kuishinda CCM sasa wewe ni nani na una nini hadi uweze kutoa comment kama hii.
Lissu alisema hivi, katiba haiko upande wetu, jeshi haliko upande wetu, usalama wa taifa na polisi hawako upande wetu, mifumo yote ya nchi haiko upande wetu hata NEC haipo upande wetu, akahoji, sasa hapo unawezaje kushinda? Lakini alisahau kuwa hata viongozi wa dini zote hawako upande wenu.
Haki ya nani sioni sababu ya Magufuli mzee huyu kuangaika na kampeni. Alipashwa alale afu siku ya mwisho aende kwenye tv na radio aombe kura kwa dakika 5 tu.
Tunakazi zingine za kufanya leo tunampokea Rais Museveni wa Uganda kazi za kirais lazima ziendelee unafikiri sisi ni kula kulala!!Inaonekana hamkujipanga kabisa miaka mitano ya kampeni na kuwanyanyasa wapinzani lakini bado hamjiamini, hadi mnaenda mapumziko pumzi imekata, mlijua mtateleza tu sasa Lisu anasema ushindi upatikane kwenye sanduku la kura
Hata laki sita nimeita roughly maximum lakini sehmu zingine zenye wapiga kura wengi kama Dar es laam mahudhurio mikutano yake ilikuwa asilimia tano ya ya Lowasa hivyo hiyo maximum ya kura Laki sita sio rahisi kwake kufikishaAjitahidi amfikie ana mgwira
Lissu hataamini macho yake atakavyochakazwa
Katiba hairuhusuKOSA KUBWA LILIFANYWA NA UPINZANI MWAKA 2015,LOWASSA ALISTAHILI KUUNDA SERIKALI YA MSETO NA MAGU
Si kawaida yako unaonekana umepanic sana.Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
Hiyo ni Hesabu rahisi tu hata mtoto wa shule ya msingi wapiga kama umati wa Lowasa ulizalisha kura milioni sitaSi kawaida yako unaonekana umepanic sana.
Unajua Chadema ina wanachama wangapi? Unajua wangapi wapo neutral na hawataki kumsikia Magufuli? Unajua wanaccm wangapi ambao hawana hamu hata ya kusikia sauti ya magufuli? Subiri upepo uvume vizuriHata laki sita nimeita roughly maximum lakini semeni zingine zenye wapiga kura wengi kama Dar es laam mahudhurio mikutano yake ilikuwa asilimia tano ya ya Lowasa hivyo hiyo maximum ya kura Laki sita sio rahisi kwake kufikisha
Subirini Magu ashughulikiwe na wajumbe. Tuna hasira nae hata amini sanduku la kura litakavyo muaibisha.Ajitahidi amfikie ana mgwira
Lissu hataamini macho yake atakavyochakazwa
Naona Mataga mmeshikwa pabaya mnaanza kutoa takwimu za Kura za Lissu.Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
Lisu atavunja rekodi chadema kwa kuwa mgombea uraisi aliyepata kura chache kuliko mgombea uraisi yeyote wa Chadema toka Chadema ianzishweOctober tunamshughulikia lissu msaliti wa Nchi
Rais Magufuli ushindi ni 97%
Uzuri wa takwimu hazidanganyiNaona Mataga mmeshikwa pabaya mnaanza kutoa takwimu za Kura za Lissu.