EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Na ukimlazimisha atakuachia radhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu bibi yako atakuwa na elimu zaidi yakoNdugu wana Jf baada ya jana kutoka kumsikiliza Rais wangu kipenzi cha watanzania na Muadilifu mwenye maono yenye tija kwetu, ikabidi nimpgie simu bibi yangu aliyeko kijijini wilaya fulani iliyopo mkoa wa Mwanza kumueleza jinsi chama chetu kilivyochanja mbuga huko nyanda za juu kusini.
Jibu alilonipa ni kuwa nisimueleze kuhusu Magufuli bali alishaamua wiki mbili zilizopita kuwa atampigia kura Tundu Lissu na kamwe hatabadili msimamo huo labda mauti tamkute kabla ya tarehe 28. Alinieleza atalipa fadhila kwa CCM kwa kuwapigia Mbunge na Diwani lakini kwa Urais kashaamua.
Niliumia sana kwanini bibi kaamua jambo ambalo naliona ni upuuzi na akanisisitiza nisimueleze tena zaid ya hapo ili kila mtu aamue anakotaka. Nilinyamaza sana sikumjibu na sijamuelewa vizuri umri wake ni miaka 87. Na ni mwana CCM kindakindaki.
Kwani bibi yako anayo smart phone.Ndugu wana Jf baada ya jana kutoka kumsikiliza Rais wangu kipenzi cha watanzania na Muadilifu mwenye maono yenye tija kwetu, ikabidi nimpgie simu bibi yangu aliyeko kijijini wilaya fulani iliyopo mkoa wa Mwanza kumueleza jinsi chama chetu kilivyochanja mbuga huko nyanda za juu kusini.
Jibu alilonipa ni kuwa nisimueleze kuhusu Magufuli bali alishaamua wiki mbili zilizopita kuwa atampigia kura Tundu Lissu na kamwe hatabadili msimamo huo labda mauti tamkute kabla ya tarehe 28. Alinieleza atalipa fadhila kwa CCM kwa kuwapigia Mbunge na Diwani lakini kwa Urais kashaamua.
Niliumia sana kwanini bibi kaamua jambo ambalo naliona ni upuuzi na akanisisitiza nisimueleze tena zaid ya hapo ili kila mtu aamue anakotaka. Nilinyamaza sana sikumjibu na sijamuelewa vizuri umri wake ni miaka 87. Na ni mwana CCM kindakindaki.
Bibi yako kama anayo smart phone na anayo tv na umeme kwenu upo basi ccm ni wa kupongezwa sana.Ndugu wana Jf baada ya jana kutoka kumsikiliza Rais wangu kipenzi cha watanzania na Muadilifu mwenye maono yenye tija kwetu, ikabidi nimpgie simu bibi yangu aliyeko kijijini wilaya fulani iliyopo mkoa wa Mwanza kumueleza jinsi chama chetu kilivyochanja mbuga huko nyanda za juu kusini.
Jibu alilonipa ni kuwa nisimueleze kuhusu Magufuli bali alishaamua wiki mbili zilizopita kuwa atampigia kura Tundu Lissu na kamwe hatabadili msimamo huo labda mauti tamkute kabla ya tarehe 28. Alinieleza atalipa fadhila kwa CCM kwa kuwapigia Mbunge na Diwani lakini kwa Urais kashaamua.
Niliumia sana kwanini bibi kaamua jambo ambalo naliona ni upuuzi na akanisisitiza nisimueleze tena zaid ya hapo ili kila mtu aamue anakotaka. Nilinyamaza sana sikumjibu na sijamuelewa vizuri umri wake ni miaka 87. Na ni mwana CCM kindakindaki.
safari hii hata wanaovaa nguo za kijani watageukia upande wa pili kwenye kuraJana Kimara Mwisho wakati nanunua mboga, wakapita watu wanagawa makaratasi ya Chagua Magufuli wauzaji wengi wakawa wanayataka, nikashangaa ina maana hapa wote ni CCM?
Baada ya wagawaji kuondoka mazungumzo ya wauzaji yakageuka kuwa ngoja tubandike tu ili tuuze biashara salama.
Ila watakoma tar ya uchaguzi tutavyowapa Upinzani kila mtu akawa anaongea kwa kuonesha ana hasira na Mgombea wa CCM
Mjibu la kitoto hilo. Ndiyo maana unashabikia kitu usichokijua, ati Uhuru na Haki. Lini maskini haki yake akapewa? Ni wapi maskini anakuwa huru kufanya aliyo na haki nayo?Upumbavu na ulofa mtupu.Milioni Hamsini kwa kila kijiji teh teh teh....
Ccm wengi wanasema wanampenda lisu na kura watampigiaNina marafiki zangu wapo kwenye timu ya kampeni ya CCM na kura wanasema watampa Lissu.
Nina masela zangu wengi wapo mataga ila na wao kura watampa Lissu.
Watanzania wote tuungane tumpe kura Lissu oktoba 28.
Mataga njooni fasta mniponde ili muongezewe posho.
JF inaweza kukurudisha nyuma ukitaka kujua habari au msimamo wa mtu ukitaka.Unaweza kuwa ulijiunga mapema ila ulikuwa unashinda kwenye majukwaa ya MMU