Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Bila upendeleo wala nini. Kwa kweli Lissu anazidi kuimprove siku hadi siku na kuwafanya CCM wapate kihoro kila siku jamaa akipanda jukwaani. Yaani ni kama Mesi au Ronaldo enzi zao walipokuwa wadogo. Umati unazidi kuongezeka kila kukicha .... CCM kazi wanayo!!
 
Muda huu nashuhudia mkutano wa pili wa mgombea urais wa CCM Dr Magufuli kwa siku ya leo, alianzia Misungwi na sasa yuko Sengerema na bado anaendelea

Najiuliza mgombea urais wa CHADEMA mbona anafanya mkutano mmoja tu kwa siku?...... Watanzania watamjua na kujua sera zake kweli?

Najiuliza tu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Tulikua tunafungua kampeni kikanda.

Sasa Tumemaliza kupanga safu za mashambuli.

Subiri sasa tuanze kamapeni.
 
Muda huu nashuhudia mkutano wa pili wa mgombea urais wa CCM Dr Magufuli kwa siku ya leo, alianzia Misungwi na sasa yuko Sengerema na bado anaendelea

Najiuliza mgombea urais wa Chadema mbona anafanya mkutano mmoja tu kwa siku?...... Watanzania watamjua na kujua sera zake kweli?

Najiuliza tu.

Maendeleo hayana vyama!
Magufuli yupo physical fit kimwili mpaka kiakili utamfaninisha na mayai mayai!
 
Mikuta
Muda huu nashuhudia mkutano wa pili wa mgombea urais wa CCM Dr Magufuli kwa siku ya leo, alianzia Misungwi na sasa yuko Sengerema na bado anaendelea

Najiuliza mgombea urais wa CHADEMA mbona anafanya mkutano mmoja tu kwa siku?...... Watanzania watamjua na kujua sera zake kweli?

Najiuliza tu.

Maendeleo hayana vyama!
Mikutano mingi ya nini wakati unajua hashindi
 
Muda huu nashuhudia mkutano wa pili wa mgombea urais wa CCM Dr Magufuli kwa siku ya leo, alianzia Misungwi na sasa yuko Sengerema na bado anaendelea

Najiuliza mgombea urais wa Chadema mbona anafanya mkutano mmoja tu kwa siku?...... Watanzania watamjua na kujua sera zake kweli?

Najiuliza tu.

Maendeleo hayana vyama!

Tundu Lisu hatumii raslimali za umma kufanya mikutano, hivyo anakuwa na mkutano mmoja bora, kuliko kuwa na mikutano mingi kwa siku ya frustration.
 
Muda huu nashuhudia mkutano wa pili wa mgombea urais wa CCM Dr Magufuli kwa siku ya leo, alianzia Misungwi na sasa yuko Sengerema na bado anaendelea

Najiuliza mgombea urais wa CHADEMA mbona anafanya mkutano mmoja tu kwa siku?...... Watanzania watamjua na kujua sera zake kweli?

Najiuliza tu.

Maendeleo hayana vyama!
QUALITY >>>> QUANTITY
 
Tundu Lisu hatumii raslimali za umma kufanya mikutano, hivyo anakuwa na mkutano mmoja bora, kuliko kuwa na mikutano mingi kwa siku ya frustration.
Hahahaha mnamkumbuka sabodo labda angeweza kuchangia japo helkopta mzuunguko mmoja!
 
Magufuli yupo physical fit kimwili mpaka kiakili utamfaninisha na mayai mayai!

Watu wenye akili hupambania ubora, ila watu wenye akili ndogo na kutumia mabavu, hujali wingi bila ubora.
 
Toto Tundu, kama vyombo vya habari vingelikuwa huru angeliweza kabisa kutoenda kokote na wananchi wakamuelewa,huo mkutano mmoja kwa siku unawahenyesha CCM,yaani hawatambuani wamevurugwa vibaya sana.
 
Back
Top Bottom