Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mataga na wasanii wa Singeli, Lissu na wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambieni mabeberu wamuongezee ulinzi mgombea wao!
Ya ununuzi wa ndege yaliidhinishwa na Nani? Ya ujenzi wa hostel udsm yaliidhinishwa na Nani?Matibabu ya mbunge yanaidhinishwa na Rais tangu lini bwashee?!
Tulikua tunafungua kampeni kikanda.Muda huu nashuhudia mkutano wa pili wa mgombea urais wa CCM Dr Magufuli kwa siku ya leo, alianzia Misungwi na sasa yuko Sengerema na bado anaendelea
Najiuliza mgombea urais wa CHADEMA mbona anafanya mkutano mmoja tu kwa siku?...... Watanzania watamjua na kujua sera zake kweli?
Najiuliza tu.
Maendeleo hayana vyama!
Magufuli yupo physical fit kimwili mpaka kiakili utamfaninisha na mayai mayai!Muda huu nashuhudia mkutano wa pili wa mgombea urais wa CCM Dr Magufuli kwa siku ya leo, alianzia Misungwi na sasa yuko Sengerema na bado anaendelea
Najiuliza mgombea urais wa Chadema mbona anafanya mkutano mmoja tu kwa siku?...... Watanzania watamjua na kujua sera zake kweli?
Najiuliza tu.
Maendeleo hayana vyama!
Mikutano mingi ya nini wakati unajua hashindiMuda huu nashuhudia mkutano wa pili wa mgombea urais wa CCM Dr Magufuli kwa siku ya leo, alianzia Misungwi na sasa yuko Sengerema na bado anaendelea
Najiuliza mgombea urais wa CHADEMA mbona anafanya mkutano mmoja tu kwa siku?...... Watanzania watamjua na kujua sera zake kweli?
Najiuliza tu.
Maendeleo hayana vyama!
Muda huu nashuhudia mkutano wa pili wa mgombea urais wa CCM Dr Magufuli kwa siku ya leo, alianzia Misungwi na sasa yuko Sengerema na bado anaendelea
Najiuliza mgombea urais wa Chadema mbona anafanya mkutano mmoja tu kwa siku?...... Watanzania watamjua na kujua sera zake kweli?
Najiuliza tu.
Maendeleo hayana vyama!
QUALITY >>>> QUANTITYMuda huu nashuhudia mkutano wa pili wa mgombea urais wa CCM Dr Magufuli kwa siku ya leo, alianzia Misungwi na sasa yuko Sengerema na bado anaendelea
Najiuliza mgombea urais wa CHADEMA mbona anafanya mkutano mmoja tu kwa siku?...... Watanzania watamjua na kujua sera zake kweli?
Najiuliza tu.
Maendeleo hayana vyama!
Mikuta
Mikutano mingi ya nini wakati unajua hashindi
Hahahaha mnamkumbuka sabodo labda angeweza kuchangia japo helkopta mzuunguko mmoja!Tundu Lisu hatumii raslimali za umma kufanya mikutano, hivyo anakuwa na mkutano mmoja bora, kuliko kuwa na mikutano mingi kwa siku ya frustration.
Nimekuelewa...... Budget!Tundu Lisu hatumii raslimali za umma kufanya mikutano, hivyo anakuwa na mkutano mmoja bora, kuliko kuwa na mikutano mingi kwa siku ya frustration.
Magufuli yupo physical fit kimwili mpaka kiakili utamfaninisha na mayai mayai!
Magufuli yupo physical fit kimwili mpaka kiakili utamfaninisha na mayai mayai!
Naimani hata kura watapata zenye ubora sio wingi.Cdm wanafocus kwenye ubora sio kwenye wingi.